Kutafsiri Biblia: Capstone Module 5 Swahili Student Workbook

/ 1 3 5

K U T A F S I R I B I B L I A

1. Mungu hutumia lugha, lakini Mungu yuko juu lugha; Yeye hutumia utofauti kudhihirisha utajiri na kina cha utukufu wake.

2. Fasihi ya Biblia hutumia lugha maalum.

a. Sitiari – Wewe ng’ombe!

b. Tashbihi – Unanuka kama ng’ombe!

c. Kejeli – Ni Bessie The Jersey pekee aliyejua jinsi ng’ombe walivyonuka!

d. Tashihisi – Ee, ng’ombe wa asubuhi, jinsi nilivyotamani kukukamua, ili kukupunguzia maumivu na kulemewa... !

3

3. Hakuna kiasi cha maelezo kinachoweza kuelezea utajiri na kina cha ufahamu wa Mungu.

4. Mungu anapotumia tanzu anajaribu kuufunua utajiri wa mafumbo yake, pasipo kushusha ukuu, heshima na thamani yake mwenyewe na ya kazi yake katika sentensi fupi za kifahisi (kama sentensi ya nathari).

IV. Faida za kujifunza tanzu za kibiblia

A. Kutatupa uwezo wa kugundua kile ambacho waandishi walidhamiria kuwasiliana kupitia maneno yao na namna zao.

B. Kutajenga nafsi zetu: Mungu hutufanya tukue kwa kufanya miunganisho ya kimawazo kati ya ulimwengu wetu (yanaojulikana) na Kweli ya Mungu (yasiojulikana).

Made with FlippingBook Digital Proposal Maker