Kutafsiri Biblia: Capstone Module 5 Swahili Student Workbook
1 4 0 /
K U T A F S I R I B I B L I A
kuchochewa kitheolojia; wakati mwingine kwa sababu tu ya tofauti za kimtindo. Kumbukumbu la Torati imesasisha kwa uangalifu sheria mbalimbali za kitabu cha Kutoka na Mambo ya Walawi kwa ajili ya maisha matulivu zaidi katika Nchi ya Ahadi. Mambo ya Nyakati kinarudia kusimulia sehemu muhimu za historia ya Kumbukumbu la Torati, kikiongeza, kupunguza na kuweka kwa upya maneno ili kuangazia zaidi ufalme wa kusini, wafalme wake, hekalu na huduma ya ukuhani. Kila moja ya Injili nne kwa wazi ina mtiririko wake kuhusiana na utambulisho wa Yesu na asili ya huduma yake, huku 2 Petro kikionekana kufanyia mapitio na kuwekea nyongeza kitabu cha Yuda ili kupambana na kundi jipya la waalimu wa uongo katika muktadha mpya. ~ C. L. Blomberg. “The Unity and Diversity of Scripture.” The New Dictionary of Biblical Theology . T. D. Alexander, ed. (electronic ed.). Downers Grove, IL: InterVarsity Press, 2001.
I. Hemenekiti Maalum na Ufafanuzi wa Simulizi.
Muhtasari wa sehemu ya 2 ya video
3
A. Hemenetiki Maalum.
1. “Hemenetiki Maalum”: kanuni na taratibu zinazotuwezesha kufasiri aina za fasihi za Biblia.
2. Mbinu ya Hatua Tatu inatumika kwa kila kifungu cha maandiko unachotaka kutafsiri .
a. Kuelewa hali ya awali.
b. Kupata kanuni za jumla za maisha.
c. Kutumia kanuni hizi katika maisha yako.
Made with FlippingBook Digital Proposal Maker