Kutafsiri Biblia: Capstone Module 5 Swahili Student Workbook
/ 1 4 7
K U T A F S I R I B I B L I A
b. Matatizo – ni migogoro na matatizo gani mahususi ambayo wahusika wanakabiliana nayo katika hadithi?
c. Kilele (upeo) – Kipi ni kilele na kipengele muhimu zaidi, ni wakati ambapo mtu katika mgogoro “anashinda”, anakubali kushindwa, anavuka vikwazo, anasalim amri?
d. Sehemu ya mwisho baada ya kilele (Denouement) – hadithi hatimaye inatatua vipi masuala yake, inaondoaje matatizo yake, na kule majawabu kwa masuala yaliyoibuliwa mwanzoni?
e. Mwisho – Finis !
E. Kumbuka dhamira ya Hadithi (kanuni na kweli za Mungu).
3
1. Hadithi inatoa “maoni gani kuhusu maisha”?
a. Mtazamo wake kuhusu “ukweli,” (Ulimwengu ukoje na sisi ni nani ndani yake?)
b. Maoni yake kuhusu “ adili ,” (Ni nini kinaunda wema na ubaya?)
c. Uelewa wake wa “thamani,” (Jambo kuu ni lipi?)
2. Ni kweli zipi kuhusu Mungu na sisi wenyewe tunazopata kutokana na kujihusisha kwetu na hadithi hii?
Made with FlippingBook Digital Proposal Maker