Kutafsiri Biblia: Capstone Module 5 Swahili Student Workbook
/ 1 4 9
K U T A F S I R I B I B L I A
4. Unatoa kauli tofauti na ya pekee juu ya ukweli ulio juu na zaidi ya akili ya mwanadamu, falsafa, na uchunguzi wa kisayansi.
a. 1 Wakorintho 1:18-3:20
b. Wakolosai 2:1-10
c. 2 Petro 1:20-21
B. Unabii unatokana na Roho Mtakatifu wa Mungu.
1. Karama ya unabii ni “karama” ya Roho, Rum. 12:6; 1 Kor. 12:10, 28; Efe. 4:8; 1 Thes. 5:19.
3
2. Nabii mara nyingi anatambulishwa kama mtu “wa Roho,” 1 Kor. 14:37 pamoja na Hos. 9:7; ona pia 1 Sam. 19:20; 2 Waf. 2:15; Neh. 9:30.
3. Ahadi ya kinabii ya Ufalme: Roho kumiminwa juu ya wote wenye mwili.
a. Tumaini la Musa: “Watu wote wa Bwana watakuwa manabii,” Hes. 11:16, 29 rej. Luka 10:1.
b. Neno la kinabii la Yoeli: “Mungu atamimina Roho yake juu ya wote wenye mwili,” Yoeli 2:28.
c. Kutimizwa: siku ya Pentekoste (ona Mt. 3:11 pamoja na Mdo 2:16, 33).
Made with FlippingBook Digital Proposal Maker