Kutafsiri Biblia: Capstone Module 5 Swahili Student Workbook

1 9 6 /

K U T A F S I R I B I B L I A

b. Thompson Chain-Reference Bible

c. Holman Topical Concordance

d. The New Torrey’s Topical Textbook

3. Manufaa: hutusaidia kuhusianisha matini yahusianayo na somo, mada au suala fulani.

4. Tahadhari

a. Inaweza kuhimiza tabia ya kutotilia maanani ujumbe wa maandiko yanayojadiliwa na kuishia tu kuyalinganisha maandiko na maandiko mengine.

4

b. Wahariri wanaweza kuhusianisha vifungu kwa namna isiyo halali na isiyoweza kutetewa.

B. Biblia za Mada

1. Ufafanuzi: Biblia yenye mada huorodhesha mada na kisha inaonyesha mistari ya maandiko inayohusiana na mada hizo chini.

2. Biblia za mada na konkodansi za mada zinazopendekezwa:

a. Baker Topical Guide to the Bible , Walter A. Elwell, Gen. ed. (Baker, 2000).

b. Nave’s Topical Bible , Orville J. Nave. (Zondervan, 1999).

Made with FlippingBook Digital Proposal Maker