Kutafsiri Biblia: Capstone Module 5 Swahili Student Workbook
/ 2 9 7
K U T A F S I R I B I B L I A
Namna ya Kuandika Kazi Yako (muendelezo)
4. Muundo maalum
Kitabu kilichoandikwa na waandishi wengi: Kaiser, Walter C., Na Moisés Silva. 1994. An Introduction to Biblical Hermeneutics: The Search for Meaning . Grand Rapids: Zondervan Publishing House. Kitabu kilicho haririwa: Greenway, Roger S., Uhariri. 1992. Discipling The City: A Comprehensive Approach to Urban Mission . Toleo la Pili. Grand Rapids: Baker Book House. Kitabu ambacho ni sehemu ya mfululizo: Morris, Leon. 1971. The Gospel According to John . Grand Rapids: Wm. B. Eerdmans Publishing Co. The New International Commentary on The New Testament. Gen. ed. F. F. Bruce. Makala ndani ya Kitabu cha marejeo: Wiseman, D. J. “Salem.” 1982. In New Bible Dictionary . Leicester, England - Downers Grove, IL: Intervarsity Press. Eds. I. H. Marshall Na Nyingine. (Mfano ukurasa wa “kazi zilizonuliwa” uko kwenye ukurasa unaofuata) Miongozo bora ya uandishi wa kazi ya kitaalamu katika nyanja za falsafa, dini, theolojia, na maadili ni pamoja na: Atchert, Walter S., na Joseph Gibaldi. 1985. The MLA Style Manual . New York: Modern Language Association. The Chicago Manual of Style . 1993. 14th ed. Chicago: The University of Chicago Press. Turabian, Kate L. 1987. A Manual for Writers of Term Papers, Theses, and Dissertations . Toleo la Tano. Bonnie Bertwistle Honigsblum, ed. Chicago: The University of Chicago Press.
Kwa Utafiti Zaidi
Made with FlippingBook Digital Proposal Maker