Kutafsiri Biblia: Capstone Module 5 Swahili Student Workbook

4 4 /

K U T A F S I R I B I B L I A

4. Nguvu: msisitizo wake ni uwezo wa maandiko wa kutambua vyanzo muhimu.

5. Udhaifu: haiwezekani kuthibitisha madai yake.

F. Uhakiki wa Lugha: kusoma lugha za kale, maneno, na sarufi.

1. Unajikita katika utafiti wa lugha za kale: Kiebrania, Kiyunani cha koine, na Kiaramu.

1

2. Huiona Biblia kuwa zao la utamaduni wa wanadamu.

3. Uhakiki huu una kiwango cha kati cha uthibitisho.

4. Nguvu: kugundua maana ya kina ya lugha za kale.

5. Udhaifu: uhakiki huu uko mbali sana na uwezekano wa kupata maana sahihi ya lugha za asili.

G. Uhakiki wa Maandishi: kulinganisha maandishi ya lahaja ili kupata usomaji bora zaidi.

1. Huzingatia maandishi tofauti tofauti na aina za matini yake.

2. Huiona Biblia kama zao la utafiti wa maandishi.

3. Uhakiki huu unna kiwango cha juu sana cha uthibitisho.

4. Nguvu: wingi wa maandishi ya kuaminika yanayopatikana.

Made with FlippingBook Digital Proposal Maker