Kutafsiri Biblia: Capstone Module 5 Swahili Student Workbook

7 2 /

K U T A F S I R I B I B L I A

II. Hatua ya Kwanza: Kuelewa mazingira au muktadha wa kwanza wa andiko. ( Kushughulika na andiko kwa kufuata matakwa ya andiko lenyewe )

A. Kuna sababu za msingi za kutaka kuelewa andiko katika muktadha wake wa kwanza.

1. Kuna tofauti za kiutamaduni kati ya utamaduni wa enzi za andiko husika na utamaduni wa wakati wetu.

2. Kuna tofauti kubwa za lugha kati yao na sisi (Kiebrania, Kiaramu, na Kiyunani cha koine).

2

3. Sisi ni watu wa kikabila (tumezama kabisa katika tamaduni zetu, na kwa kawaida tunaamini tamaduni zetu kuwa ni bora ).

4. Tunasoma Biblia kwa kwa kuchanganya nyakati (yaani, tunamazoea ya kutafsiri mazingira yetu ya sasa kupitia mazingira ya nyakati za Biblia).

5. Tuna uwezekano mkubwa wa kufanya makosa ya kijiografia, kihistoria na kijamii .

B. Kwa nini ni vigumu sana kuelewa mazingira ya kihistoria ya andiko?

1. Hatukuwepo!: hakuna mtu aliye hai leo aliyekuwepo wakati wa matukio yanayoripotiwa katika maandiko.

2. Hatufahamu kwa ufasaha matumizi au tofauti za lugha za Biblia (Kiyunani, Kiaramu, na Kiebrania).

Made with FlippingBook Digital Proposal Maker