Kutafsiri Biblia: Capstone Module 5 Swahili Student Workbook

7 8 /

K U T A F S I R I B I B L I A

2. Kutendea kazi Neno kwa nidhamu kunaleta utauwa, 1 Tim. 4:7-9.

3. Kutendea kazi Neno kwa uthabiti kunatupa ukomavu na uwezo wa kuwafundisha wengine, Ebr. 5:11-6.2.

4. Imani bila matendo, imekufa (Yak 2:14-17).

5. Kutendea kazi Neno kunayajenga maisha yetu katika msingi imara, Mt. 7:24-27.

2

B. Kwa nini ni vigumu sana kutendea kazi Neno?

1. Asili yetu ya dhambi: kwa kawaida tuna mwelekeo wa kutoamini na kutotii, Gal. 5:16-21.

2. Tunaepuka wajibu wa kuwapa changamoto na kuwahimiza waumini wengine.

a. 2 Wakorintho 9:2

b. Waebrania 10:24-25

c. Waebrania 3:13-14

3. Tunatafuta kutumia Kweli ya andiko katika nguvu na juhudi za kimwili, Wafilipi 3:2-3.

Made with FlippingBook Digital Proposal Maker