Misingi ya Utume wa Kikristo, Mwongozo wa Mkufunzi
1 9 2 /
MISINGI YA UTUME WA KIKRISTO
a. Law. 25:25
b. Law. 25:35
c. Law. 25:36-39
2. Njaa, Mdo 11:27-29
3. Mambo yaliyo nje ya udhibiti wa mtu, kwa mfano, Ayubu.
a. Ayubu 1:1-3
b. Ayubu 1:13-19
4
B. Uzembe na uvivu wa mtu binafsi.
1. Umaskini huja kwa nguvu na ghafla juu ya mtu anayekataa kufanya kazi, Mit. 6:6-11.
2. Uvivu huelekea kumweka mtu anayeteseka chini ya udhibiti wa mwingine, Mit. 12:24.
3. Njaa ni urithi wa mtu asiye na kazi, Mit. 19:15.
4. Uvivu huathiri kila sehemu ya maisha, Mit. 19:24.
Made with FlippingBook - Online catalogs