Misingi ya Utume wa Kikristo, Mwongozo wa Mkufunzi
/ 2 1 3
MISINGI YA UTUME WA KIKRISTO
2. Tunapaswa kuwakaribisha wageni, walio na mahitaji na waliofungwa.
a. Ebr. 13:1-3
b. Rum. 12:13
c. 1 Pet. 4:9
3. Tunapaswa kuonyesha upendo kama tulivyoonyeshwa upendo na Mungu, Kum. 10:18-19.
D. Tunapaswa kutenda zaidi ya viwango vya ukarimu kwa kutafuta haki na usawa.
1. Hatutakiwi kukidhi mahitaji yao tu, bali tunapaswa pia kujitahidi kuinua maisha ya wengine kwa kutetea na kusimamia haki ( kuwawezesha maskini kupata rasilimali zitakazo wawezesha kujihusisha na shughuli za uzalishaji kwa ajili ya maisha yao ).
4
2. Katika Agano la Kale Mungu aliiagiza jamii yake ya agano iwape maskini njia na fursa za kuzalisha mali, kwa kadri Bwana alivyowabariki, Kum. 15:12-14.
3. Tuishi Injili ya mafanikio ya kweli : tarajia kwamba Bwana ataimarisha kazi yako, hata iwe ndogo, unapoifanya kwa kuzingatia matendo ya haki kwa maskini na wanyonge, Zab. 41:1-3.
Made with FlippingBook - Online catalogs