Mungu Baba: Swahili Module 6 Mentor Guide

1 1 6 /

M U N G U B A B A

A. Mungu ni mtakatifu (Mungu ni mkamilifu kimaadili na amejitenga kabisa tena yuko huru na aina zote za uovu na ubaya).

1. Ana upekee wa kiwango cha juu zaidi

a. Kut. 15:11

b. 1 Sam. 2:2

c. Isa. 6:1-4

2. Msafi katika mambo yote

a. Ebr. 1:13

4

b. Yak. 1:13

3. Ni mzuri na aliyejaa adhama

a. Zab. 104:1-4

b. Zab. 22:3

c. Ufu. 4:8

Made with FlippingBook - Share PDF online