Mungu Baba: Swahili Module 6 Mentor Guide
1 3 6 /
M U N G U B A B A
c. Mara tu mtu anapotubu na kuungama dhambi, Yer. 3:12-13
4. Haiwezi kupingwa au kuzuiwa ikishaachiliwa.
a. Ayu. 9:13
b. Ayu. 14:13
c. Ufu. 6:16-17
II. Je, Kuna Mvutano kati ya Wema na Ghadhabu ya Mungu?
A. Asili ya mjadala huu
4
1. Upande wa kwanza: Haki na ghadhabu ya Mungu inadai hukumu na adhabu ya kila mtu ambaye ameasi utakatifu wake na fursa ya wokovu katika Yesu Kristo.
2. Upande wa pili: Rehema na neema ya Mungu vinamsukuma kuwa mwenye kusamehe na kumvumilia kila mtu ambaye ameasi utakatifu wake na fursa ya wokovu katika Yesu Kristo.
3. Maswali yatokanayo na mjadala huu
a. Je, kuna migogoro kati ya upendo wa Mungu na haki yake? Na ikiwa ndivyo, nini ni asili ya migogoro hii?
Made with FlippingBook - Share PDF online