Mungu Baba: Swahili Module 6 Mentor Guide

/ 1 5 7

M U N G U B A B A

K I A M B A T I S H O C H A 8 Tangu Kabla ya Wakati hata Baada ya Wakati Mpango wa Mungu na Historia ya Mwanadamu Imechukuliwa toka kwa Suzanne de Dietrich. God’s Unfolding Purpose. Philadelphia: Westminster Press, 1976.

I. Kabla ya wakati (Milele Iliyopita) 1 Kor. 2.7 A. Mungu wa Utatu wa Milele B. Kusudi la Mungu la Milele C. Siri ya uovu D. Falme na Mamlaka II. Mwanzo wa wakati (Uumbaji na Anguko) Mwa. 1.1 A. Neno lenye kuumba B. Mwanadamu C. Anguko D. Utawala wa mauti na ishara za Mwanzo za neema

III. Kufunuliwa kwa wakati (Mpango wa Mungu Unafunuliwa kupitia Israeli) Gal. 3.8 A. Ahadi (Mababa wa Imani) B. Kitabu cha Kutoka na Agano katika mlima Sinai C. Nchi ya Ahadi D. Mji, Hekalu, na Kiti cha Enzi (Nabii, Kuhani,na Mfalme) E. Uhamisho F. Mabaki IV. Ukamilifu wa Wakati (Kufanyika Mwili kwa Masihi) Gal. 4.4-5 A. Mfalme Anakuja Katika Ufalme Wake B. Uhalisia Uliopo wa Utawala Wake C. Siri ya Ufalme: Uliopo na Bado Haujaja D. Mfalme Aliyesulibiwa E. Bwana Aliyefufuka V. Nyakati za Mwisho (Kushuka kwa Roho Mtakatifu) Mdo 2.16-18 A. Kati ya Nyakati: Kanisa Kama Kionjo cha Ufalme B. Kanisa Kama Wakala wa Ufalme C. Mashindano Kati Ufalme wa Giza na Ufalme wa Nuru

VI. Utimilifu wa Muda (Kuja Mara ya Pili) Mt. 13.40-43 A. Kurudi kwa Kristo B. Hukumu C. Ukamilifu wa Ufalme Wake VII. Baada ya Wakati (Milele Ijayo) 1 Kor. 15:24-28 A. Ufalme Unakabidhiwa kwa Mungu Baba B. Mungu kama Yote Katika Yote

Made with FlippingBook - Share PDF online