Mungu Baba: Swahili Module 6 Mentor Guide

/ 1 5 9

M U N G U B A B A

K I A M B A T I S H O C H A 9 “Kuna Mto ” Kutambua Mikondo ya Jumuiya ya Kikristo Halisi iliyohuishwa Jijini 1 Mch. Dkt. Don L. Davis • Zaburi 46.4 - Kuna mto, vijito vyake vyaufurahisha mji wa Mungu, patakatifu pa maskani zake aliye juu.

Vijito vya Imani Halisi ya Kihistoria ya Biblia

Muunganiko wa Kihistoria Uliothibitishwa Upya

Utambulisho wa Kibiblia Unaojulikana

Uamsho wa Kiroho cha Mijini

Mamlaka ya Kiufalme Yenye Mwelekeo Mpya

Kanisa ni Moja

Kanisa ni Takatifu

Kanisa ni Kikatoliki

Kanisa ni la Kitume

Wito kwenye Uhuru, Nguvu na Ujazo wa

Wito kwenye Mizizi na Muendelezo wa Kihistoria Kukiri utambulisho mmoja wa kihistoria na muendelezo wa imani thabiti ya kikristo

Wito wa Uaminifu wa Kibiblia Kutambua Maandiko kama nanga na msingi wa imani ya Kikristo na utendaji wa kila siku

Wito wa Imani ya Kitume

Roho Mtakatifu Kutembea katika utakatifu, nguvu,

Kuthibitisha mapokeo ya kitume kama msingi wenye mamlaka wa tumaini la Kikristo

vipawa na uhuru wa Roho Mtakatifu katika Mwili wa Kristo

Wito wa Kuthibitisha na Kuonyesha Ushirika

Wito wa Utambulisho wa Ufalme wa Kimasihi

Wito wa Watu wa Mungu Kuishi kama Wasafiri na Wageni Kufafanua ufuasi halisi wa Kikristo kama ushirika mwaminifu miongoni mwa watu wa Mungu

Wito wa Mamlaka Wakilishi. Kujiweka kwa furaha chini ya watumishi wa Mungu katika Kanisa kama wachungaji wa imani ya kweli

wa Watakatifu Ulimwenguni

Kugundua upya hadithi ya Masihi

Kuonyesha ushirikiano na waamini wengine wote, wale wa mahala pamoja na walio ulimwenguni mwote

aliyeahidiwa na ufalme wake katika Yesu wa Nazareti

Wito wa Uhai wa Kiliturujia, Kisakramenti na Katekisi. Kuwa ndani ya

Wito wa Mshikamano wa Imani

Wito wa Ukarimu wa Hali ya Juu na Matendo Mema Kuonyesha upendo wa ufalme kwa wote, na hasa wale wa imani moja nasi.

Wito wa Ushuhudiaji Kamili wa Kinabii Kumtangaza Kristo na ufalme katika Neno na tendo kwa majirani zetu na watu wote

Kukumbatia Kanuni ya Imani ya Nikea kama

uwepo wa Mungu katika muktadha wa Neno, sakramenti na maagizo

kanuni ya pamoja ya imani halisi ya kihistoria

1 Mfumo huu umechukuliwa na kuboreshwa kutokana na maarifa ya matamko ya Wito wa Chicago ya mwaka 1977, ambapo wanazuoni na wahudumu wakuu wa kiinjili walikutana kujadili uhusiano wa uinjilisti wa kisasa katika imani ya kihistoria ya Kikristo.

Made with FlippingBook - Share PDF online