Mungu Baba: Swahili Module 6 Mentor Guide

1 7 8 /

M U N G U B A B A

Maono na Mbinu za Kitheolojia (muendelezo)

C. Inapingwa na dhana ya uwili ( dualism ) wa akili-mwili.

D. Vipi kuhusu wanadamu kama sehemu ya uumbaji, na maisha baada ya kifo?

V. Imani Juu ya Uungu ( Deism )

“ Imani katika muumbaji aliye mbali, asiyehusika na ulimwengu ambao utaratibu wake aliubuni.” A. Inasimamia kukomeshwa kwa imani ya dini iliyojengwa juu ya madai ya ufunuo.

B. Hukuza dini ya asili yenye baraka zinazotolewa kwa wote na Mungu wa rehema.

C. Dini ya sheria ya maadili: “warazini na wenye moyo wenye njaa ya dini.”

D. Ibada isiyo ya kikristo kwa Mungu.

E. Inachukulia mamlaka ya kikanisa kama kikwazo kwa watu wenye mawazo huru.

F. Fundisho la anguko na ukombozi hutupliwa mbali, muundo wake wa kifasihi unachukuliwa kuwa mbaya, potovu, na wenye sodari.

VI. Dhana ya Determinism

A. Dhana ya Uamuzi wa Kisayansi ( Scientific determinism) – muundo wa kila tukio la kimwili huamuliwa kipekee namuunganikowamatukio yanayolitangulia; kugundua kutegemeana huko na kuuelezea kupitia kanuni na sheria.

Made with FlippingBook - Share PDF online