Mungu Baba: Swahili Module 6 Mentor Guide
1 8 2 /
M U N G U B A B A
K I A M B A T I S H O C H A 1 8 Kutoka Kwenye Ujinga Mpaka Ushuhuda Unaoaminika Mch. Dkt. Don L. Davis
Ushuhuda - Uwezo wa kutoa ushuhuda na kufundisha
2 Tim. 2.2 Mt. 28.18-20 1 Yohana 1.1-4 Mit. 20.6 2 Kor. 5.18-21
Na mambo yale uliyoyasikia kwangu mbele ya mashahidi wengi, hayo uwakabidhi watu waaminifu watakaofaa kuwafindisha na wengine. ~ 2 Tim. 2.2
8
Mfumo wa maisha- Utendaji wa kudumu wa kufanya vyema na matendo ya kila siku yanayolingana na imani
7
Naye Yesu akazidi kuendelea katika hekima na kimo, akimpendeza Mungu na wanadamu. ~ Luka 2.52
Ebr. 5.11-6.2 Efe. 4.11-16 2 Pet. 3.18 1 Tim. 4.7-10
Udhihirisho - kuonyesha nia thabiti katika mwenendo husika, usemi na tabia
Yakobo 2.14-26 2 Kor. 4.13 2 Pet. 1.5-9 1 The. 1.3-10
6
Lakini, kwa Neno lako nitashusha nyavu. ~ Luka 5.5
Nia thabiti- Kujitoa kibinafsi ili kufikiri, kuongea na kutenda kulingana na taarifa husika
Ebr. 2.3-4 Ebr. 11.1, 6 Ebr. 3.15-19 Ebr. 4.2-6
5
Unaamini hili? ~ Yohana 11.26
Utambuzi - Kufahamu maana na matumizi ya taarifa
Yohana 16.13 Efe. 1.15-18 Kol. 1.9-10 Isa. 6.10; 29.10 2 Tim. 3.16-17 1 Kor. 2.9-16 1 Yohana 2.20-27 Yohana 14.26
4
Je unaelewa unachokisoma? ~ Mdo 8.30
Maarifa - Uwezo wa kukariri na kuikumbuka ili kuifanyia kazi taarifa
3
Nini Maandiko yanasema? ~ Rum. 4.3
Shauku - Kuitikia kwenye mawazo fulani au taarifa kwa udadisi na uwazi
Zab. 42.1-2 Mdo 9.4-5
2
Tutakusikia tena kuhusiana na jambo hili. ~ Mdo 17.32
Yohana 12.21 1 Sam. 3.4-10
Ufahamu - Kuwa na uzoefu kwenye mawazo mbalimbali na taarifa
Marko 7.6-8 Mdo 19.1-7 Yohana 5.39-40 Mt. 7.21-23 Efe. 4.17-19 Zab. 2.1-3 Rum. 1.21; 2.19 1 Yohana 2.11
1
Wakati ule, Mfalme Herode alisikia habari za Yesu. ~ Mt. 14.1
Upuuziaji - Kutokuwa karibu na taarifa kutokana na ugeni wa jambo, kutojali au ugumu
0
Nani ni Bwana ambaye natakiwa kutega sikio na kuisikiliza sauti yake? ~ Kut. 5.2
Made with FlippingBook - Share PDF online