Mungu Baba: Swahili Module 6 Mentor Guide

/ 4 1

M U N G U B A B A

Katika somo letu linaIofuata, tutaelekeza mawazo yetu kuielewa mamlaka kuu ya Mungu na uangalizi na utunzaji wake juu ya viumbe vyote na historia. Tutaona kwamba Baba ni Mwenye enzi kuu juu ya yote, Chanzo cha vyote, na mtegemezaji wa vyote kupitia Mwanawe, Yesu Kristo. Pia tutachunguza utunzaji wa Mungu wa vitu vyote, utawala wake juu ya viumbe vyote, pamoja na ahadi yake ya kurejesha viumbe vyote kwenye utukufu wake wa asili wakati wa kurudi kwake Kristo.

Kuelekea Somo Linalofuata

1

Mtaala huu ni matokeo ya maelfu ya masaa ya kazi iliyofanywa na taasisi ya The Urban Ministry Institute (TUMI) na haupaswi kudurufu bila idhini ya taasisi hiyo. TUMI inatoa idhini kwa yeyote anayehitaji kutumia vitabu hivi kwa ajili ya faida ya ufalme wa Mungu, kwa kutoa leseni za kudurufu za gharama nafuu. Tafadhali thibitisha kwa Mkufunzi wako ikiwa kitabu hiki kimepewa leseni ipasavyo. Kwa taarifa zaidi kuhusu TUMI na taratibu zetu za utoaji leseni, tembelea www.tumi.org na www.tumi.org/license .

Made with FlippingBook - Share PDF online