Mungu Baba: Swahili Module 6 Mentor Guide

5 0 /

M U N G U B A B A

2. Uumbaji ni mali ya Mungu, Zab. 115:16.

3. Mungu huuingilia na kushirikiana na uumbaji wake kwa makusudi yake mwenyewe.

a. Mungu hufanya atakalo kila mahali, Zab. 135:5-6.

b. Mungu hana kifani katika matendo yake ya uangalizi na utunzaji, Isa. 40:22-26.

2

4. Mungu ni mkuu na anatawala katika mambo na shughuli zote za viumbe vyote vya kimalaika ulimwenguni.

B. Anatawala juu ya kusudi na matukio ya kihistoria.

1. Kusudi la moyo wa Mungu litatimizwa.

a. Zab. 33:11

b. Zab. 115:3

c. Isa. 46:10

d. Dan. 4:35

2. Mungu ndiye mwenye kusimamia mtiririko wa historia ya mwanadamu, Mdo 14:15-17.

Made with FlippingBook - Share PDF online