Mungu Baba: Swahili Module 6 Mentor Guide
/ 5 3
M U N G U B A B A
B. Yeye ni chanzo cha wema wote.
1. Ni mwema kwa kila alichokifanya, Zab. 145:9.
2. Mungu hutoa uzima na afya kwa vitu vyote, Zab. 145:15-16.
3. Wanadamu wote hunufaika na ukarimu wa Mungu, Zab. 36:5-7.
III. Mungu Baba Mwenyezi ndiye Mtegemezaji wa Vitu vyote.
2
A. Huvitegemeza vitu vyote na viumbe vyote vilivyoumbwa.
1. Mungu huvijaza viumbe vyote mambo mema, Zab. 104:24-30.
2. Rehema za utunzaji wa Mungu hutegemeza na kugusa vitu vyote alivyoviumba.
a. Ulimwengu wote unaguswa na utunzaji wa Mungu, Zab. 145:9.
b. Kila kiumbe hai kinao uhai kutoka kwa Mungu, Zab. 145:15-16.
c. Yesu alifundisha utunzaji wa Mungu kwa vitu vyote, Luka 12:24-28.
3. Mungu ni mwema hata kwa wale wasio mjua wala kumpenda, Luka 6:35.
B. Mungu hufanya tendo lake la utegemezaji kupitia upatanishi wa Yesu Kristo.
Made with FlippingBook - Share PDF online