Mungu Baba: Swahili Module 6 Mentor Guide

/ 8 1

M U N G U B A B A

B. Mungu ni Mungu mmoja

1. Dekalojia (amri kumi), Kut. 20:1-6

a. Bwana Mungu ndiye Mungu mmoja wa kweli. Hakuna miungu mingine inayopaswa kupokea ibada na heshima yake.

b. Miungu mingine yote ni sanamu. Ni Bwana pekee aliyezifanya mbingu na kuwaokoa watu wake.

c. Mungu ni mwenye wivu; hatashiriki utukufu wake na miungu mingine au sanamu.

3

2. Shema, Kum. 6:4-5

a. Inakazia uungu wa Yehova Mungu kama Mungu wa pekee

b. Inakazia umoja na upekee wa Yehova

3. Uthibitisho wa Yesu kuhusu umoja na Mungu, Mk 12:29-30

C. Mungu yupo katika Nafsi tatu.

1. Baba anazungumziwa na kutajwa kama Mungu.

a. Efe. 1:17

Made with FlippingBook - Share PDF online