Mungu Baba: Swahili Module 6 Mentor Guide
/ 8 3
M U N G U B A B A
b. Yoh. 16:8-11
c. 1 Kor. 12:4-11
d. Mt. 28:19
e. 2 Kor. 13:14
4. Na hata hivyo, hakuna Miungu mitatu, bali Mungu mmoja mbarikiwa, Mungu, Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu.
D. Ushahidi wa Kibiblia wa kumtazama Mungu kama Mungu mmoja katika nafsi tatu
3
1. Washiriki wote tofauti wa Utatu wana sifa zinazofanana.
a. Umilele
(1) Rum. 16:26 (2) Ufu. 22:12 (3) Ebr. 9:14
b. Utakatifu
(1) Ufu. 4:8 (2) Ufu. 15:4 (3) Mdo. 3:14
Made with FlippingBook - Share PDF online