Mungu Baba: Swahili Module 6 Mentor Guide
9 4 /
M U N G U B A B A
a. Kum. 5:26
b. Zab. 42:2
c. Isa. 37:17
d. Yer. 10:10
e. Dan. 6:26
2. Mungu ni wa milele (zaidi ya ulimwengu wa wakati wenyewe lakini anaweza kuushughulisha anavyoona inafaa).
3
a. Kum. 33:27
b. Rum. 16:26
c. 1 Tim. 1:17
3. Mungu anajitegemea katika uwepo wake; anao uzima ndani yake na Yeye mwenyewe ni uzima.
a. Yoh. 5:26
b. Kut. 3:14
Made with FlippingBook - Share PDF online