Mungu Mwana – Mwongozo wa Mkufunzi: Capstone Module 10 Swahili Mentor Guide
/ 1 2 5
M U N G U M W A N A
Yesu, Masihi na Bwana wa Wote Alifufuka na Atarudi
S O M O L A 4
ukurasa 289 1
Karibu katika Jina lenye nguvu la Yesu Kristo! Baada ya kusoma, kujifunza, kushiriki katika mijadala, na kutendea kazi yaliyomo katika somo hili, utakuwa na uwezo wa: • Kueleza, kwa kutumia Maandiko na hoja za msingi, vipengele mbalimbali na maana ya matukio mawili yanayodhihirisha kuinuliwa, ufufuo na kupaa kwa Kristo. • Kuelezea mambo makuu yanayoonyesha jinsi ufufuo unavyotumika kama uthibitisho wa Umasihi wa Yesu na cheo chake kama Mwana wa Mungu. • Kueleza umuhimu na maana ya kupaa kwa Yesu ambako kunampa Mwokozi wetu nafasi ya hadhi na mamlaka inayomruhusu kujaza vitu vyote kwa utukufu wake. • Kuonyesha jinsi Kanuni ya Imani ya Nikea na maungamo yake yanavyotoa muhtasari wa wazi na wenye kusadikisha wa mafundisho ya Maandiko juu ya ufufuo na kupaa, na kutoa matokeo muhimu ya matukio haya makuu. • Kuelezea matukio matatu ya mwisho ya kikristolojia yanayorejelewa katika Kanuni ya Imani ya Nikea juu ya huduma ya sasa na inayokuja ya Kristo aliyeinuliwa. • Kujenga hoja kwa msingi wa Maandiko na Kanuni ya Imani kuhusu Ujio wa Pili wa Kristo katika utukufu, na kuweka wazi sifa za ujio huo na umuhimu wake kwetu katika huduma. • Kutetea uthibitisho wa kibiblia na Kanuni ya Imani kuhusu hukumu ya Yesu kwa mataifa, na mambo muhimu katika utawala ujao wa Yesu. • Kuelezea masuala muhimu ya kurudi kwa Kristo na utawala wake na maana zake kwetu tunapofanya huduma mijini.
Malengo ya Somo
4
Maono ya Kuishi kwayo
Ibada
Warumi 13:8-14 - Maana kule kusema, Usizini, Usiue, Usiibe, Usitamani; na ikiwapo amri nyingine yo yote, inajumlishwa katika neno hili, ya kwamba, Mpende jirani yako kama nafsi yako. 10 Pendo halimfanyii jirani neno baya; basi pendo ndilo utimilifu wa sheria. 11 Naam, tukiujua wakati, kwamba saa ya kuamka katika usingizi imekwisha kuwadia; kwa maana
ukurasa 291 2
Made with FlippingBook - Share PDF online