Mungu Mwana – Mwongozo wa Mkufunzi: Capstone Module 10 Swahili Mentor Guide

/ 1 4 5

M U N G U M W A N A

3. Kutatangazwa kwa sauti wa tarumbeta ya malaika mkuu (1 Thes. 4:16).

4. Atasindikizwa na malaika (Mt. 24:31).

5. Kunahusishwa na Yeye kukamilisha utawala wake wa kifalme, akikichukua kiti chake cha enzi na kuhukumu na kutawala juu ya mataifa (Mt. 25:31-46).

E. Kuja kwake litakuwa tendo la ghafla pasipo kutarajiwa kabisa .

1. Litatokea haraka, kama mwivi usiku, huku wengi wakiwa hawajui kabisa kuwa amerudi (Mt. 24:42-44).

2. Mfano wa wanawali kumi katika Mathayo 25 unaonyesha ukweli huu.

4

3. 2 Petro 3:10

4. Tatizo la kuchelewa: 2 Pet. 3:3-4

5. Usidanganyike kwa sababu ya kukawia kwake : 2 Pet. 3:8-10.

a. Nuhu: Luka 17:20-27

b. Kumbuka mke wa Lutu: Luka 17:32

Made with FlippingBook - Share PDF online