Mungu Mwana – Mwongozo wa Mkufunzi: Capstone Module 10 Swahili Mentor Guide
1 4 8 /
M U N G U M W A N A
D. Ni wale tu watakaokuwa wameandikwa katika kitabu cha Uzima cha Mwana-Kondoo ndio watakaoingia katika utaratibu mpya wa ufalme wa Mungu.
1. Maono ya kutisha ya hukumu (Ufu. 20:12-15)
2. Ibilisi na waovu wote watawekwa kwenye adhabu ya milele (mahali pa kutengwa na uwepo wa Mwenyezi Mungu).
a. Hukumu ya Shetani (Ufu. 20:10)
b. Hukumu ya wasioamini (2 Thes. 1.6-10)
III. “Na Ufalme Wake Hautakuwa na Mwisho”
4
A. Katika Ufalme wa Bwana wetu Yesu Kristo, maarifa ya Bwana yatakuwa ya kimataifa na ya ulimwengu wote.
1. Isaya 11:9 (rej. Hab. 2:14)
2. Kumjua Bwana moja kwa moja (1 Yohana 3:2)
3. Zaburi 16:11
4. Mathayo 5:8
5. Yohana 17:24
Made with FlippingBook - Share PDF online