Mungu Mwana – Mwongozo wa Mkufunzi: Capstone Module 10 Swahili Mentor Guide

1 6 8 /

M U N G U M W A N A

Muhtasari wa Mwongozo wa Maandiko (inaendelea)

1. Mathayo – Yesu Mfalme a. Nafsi ya Mfalme b. Maandalizi ya Mfalme c. Mkakati wa Mfalme d. Mpango wa Mfalme

7. 1 Wakorintho – Ubwana wa Kristo a. Salamu na shukrani b. Utaratibu katika Kanisa la Korintho c. Kuhusiana na Injili d. Kuhusiana na makusanyo 8. 2 Wakorintho – Huduma ya Kanisa a. Faraja ya Mungu b. Kukusanya kwa ajili ya masikini c. Wito wa mtume Paulo 9. Wagalatia – Kuhesabiwa Haki kwa Imani a. Utangulizi b. Kibinafsi - mamlaka ya mtume na utukufu wa injili c. Kimafundisho - kuhesabiwa haki kwa imani d. Kiutendaji - utakaso kwa njia ya Roho Mtakatifu e. Hitimisho na mawaidha 10. Waefeso – Kanisa la Yesu Kristo a. Kimafundisho- wito wa kimbingu wa Kanisa - Mwili - Hekalu - Siri b. Kiutendaji -namna ya kuenenda kwa Kanisa katika dunia

14. 2 Wathesalonike – Kuja kwa Kristo Mara ya Pili a. Dhiki za waamini kwa sasa; hukumu ya wasioamini baada ya hapa(wakati wa kuja kwa Kristo) b. Mpango wa ulimwengu kuhusiana na kuja kwa Kristo c. Masuala ya kivitendo yanayohusiana na ujio wa Kristo 15. 1 Timotheo – Utawala na Mfumo wa Kanisa la Mahali Pamoja a. Imani ya Kanisa b. Maombi ya halaiki na nafasi ya Mwanamke katika Kanisa c. Maafisa katika Kanisa d. Uasi katika Kanisa e. Majukumu ya afisa wa Kanisa 16. 2 Timotheo – Uaminifu katika Siku za Uasi 17. Tito – Kanisa Halisi la Agano Jipya a. Kanisa ni taasisi b. Kanisa lipo ili kufundisha na kuhubiri Neno la Mungu c. Kanisa lipo ili kufanya matendo mema 18. Filemoni – Kufunua Upendo wa Kristo na Kufundisha Upendano wa Ndugu a. Salamu za kirafiki kwa Filemoni na familia b. Sifa njema za Filemoni c. Ombi la neema kwa Onesmo d. Kutokuwa na hatia kama mbadala wa hatia e. Kielelezo cha utukufu cha kuhesabiwa haki f. Mahitaji ya ya jumla na ya kibinafsi a. Kimafundisho - Kristo ni bora kuliko mpangilio wa Agano la Kale b. Kiutendaji- Kristo analeta faida na wajibu bora zaidi 19. Waebrania – Ukuu wa Kristo a. Mateso kwa ajili ya Injili b. Kuwa hai katika ibada c. Uasi unaokuja; mamlaka ya Maandiko d. Utii kwa Bwana

21. 1 Petro – Tumaini la Mkristo katika Nyakati za Dhiki na Majaribu a. Kuongezeka kwa neema mbalimbali za Kristo kunatoa uhakika b. Mateso na Maandiko c. Mateso na mateso ya Kristo d. Mateso na kuja kwa Kristo mara ya pili 22. 2 Petro – Onyo dhidi ya Waalimu wa Uongo a. Kuongezeka kwa neema kwa mkristo kunatoa uhakika b. Mamalaka ya Maandiko c. Uasi unaingizwa kwa njia ya shuhuda za uongo d. Mtazamo juu kurudi kwa Kristo; kuujaribu uasi e. Ajenda ya Mungu duniani f. Maonyo kwa waamini 23. 1 Yohana– Familia ya Mungu a. Mungu ni nuru b. Mungu ni pendo c. Mungu ni uzima

e. Mateso ya Mfalme f. Nguvu ya Mfalme

2. Marko – Yesu kama Mtumishi a. Yohana anamtambulisha Mtumishi b. Mungu Baba anamtambua Mtumishi c. Jaribu lina anzisha utendaji kazi wa Mtumishi d. Kazi na Neno la Mtumishi e. Kifo, mazishi, kufufuka 3. Luka – Yesu Kristo Mwanadamu Kamili a. Kuzaliwa na familia ya Mwanadamu kamili b. Kujaribiwa kwa Mwanadamu kamili; mji wa nyumbani c. Huduma ya Mwanadamu kamili. d. Usaliti, jaribu, na kifo cha Mwanadamu kamili e. Ufufuo wa Mwanadamu kamili 4. Yohana – Yesu Kristo ni Mungu a. Dibaji - kufanyika mwili b. Utangulizi c. Ushahidi wa matendo na maneno d. Ushahidi wa Yesu kwa wanafunzi wake e. Shauku-ushahidi kwa ulimwengu f. Hitimisho 5. Matendo ya Mitume – Utendaji kazi wa Roho Mtakatifu katika Kanisa a. Bwana Yesu kazini kupitia Roho Mtakatifu kwa njia ya mitume wakiwa Yerusalemu b. Katika Uyahudi na Samaria c. Mpaka mwisho wa nchi

24. 2 Yohana – Onyo dhidi ya

Kuwakaribisha Wadanganyifu a. Kutembea katika kweli b. Kupendana mtu na jirani yake c. Usiwapokee wadanganyifu d. Tafuta furaha katika ushirika

- Mtu mpya - Bibi harusi - Jeshi

25. 3 Yohana – Himizo juu ya

11. Wafilipi – Furaha katika Maisha ya Kikristo

Kuwapokea waamini wa Kweli a. Gayo, ndugu katika Kanisa b. Diotrefe c. Demetrio

a. Falsafa ya kuishi kikristo b. Mfumo wa kuishi kikristo c. Thawabu kwa ajili ya kuishi kikristo d. Nguvu ya kuishi kikristo

26. Yuda – Kuishindania Imani a. Sababu ya waraka b. Kutokea kwa uasi

12. Wakolosai – Kristo, Ukamilifu wa Mungu a. Kimafundisho – Kristo, ukamilifu wa Mungu; katika Kristo watu wanafanywa wakamilifu

c. Nafasi ya waamini katika siku za uasi

27. Ufunuo – Kristo Aliyefunuliwa Anatukuzwa a. Nafsi ya Yesu katika utukufu b. Milki ya Yesu Kristo- Kanisa ulimwenguni c. Mpango wa Yesu Kristo - unavyoonekana mbinguni d. Mihuri saba e. Tarumbeta saba f. Watu muhimu katika siku za mwisho g. Vitasa saba h. Kuanguka kwa babeli i. Hali ya milele

b. Kiutendaji – Kristo, ukamilifu wa Mungu; maisha ya Kristo yanamiminwa kwa waamini, kusambaa kupitia wao.

6. Warumi – Haki ya Mungu a. Salamu b. Dhambi na wokovu c. Utakaso d. Mpambano

13. 1 Wathesalonike – Kuja kwa Kristo Mara ya Pili: a. Ni tumaini lililovuviwa b. Ni tumaini linalotenda kazi c. Ni tumaini lenye kutakasa d. Ni tumaini lenye kufariji e. Ni tumaini lenye kusisimua na kutia hamasa

20. Yakobo – Maadili ya Kikristo a. Kujaribiwa kwa imani

e. Maisha yaliyojaa Roho Mtakatifu f. Uhakika wa wokovu g. Matengano h. Dhabihu na ibada i. Kutengwa na salamu

b. Ugumu wa kutawala ulimi. c. Onyo dhidi ya ulimwengu d. Maonyo katika kutazamia kuja kwa Bwana

Made with FlippingBook - Share PDF online