Mungu Mwana – Mwongozo wa Mkufunzi: Capstone Module 10 Swahili Mentor Guide
/ 1 7 3
M U N G U M W A N A
K I A M B A T I S H O C H A 1 1 Kuishi Katika Ufalme Uliopo Tayari, Ambao Bado Haujaja Mch. Dkt. Don L. Davis Roho: Ahadi ya Urithi (arrabon) Kanisa: Kionjo (aparche) cha Ufalme “Ndani ya Kristo”: Uzima tele (en christos) tunaoshiriki kama raia wa Ufalme
Kuja Mara ya Pili
Madhihirisho wa Utawala wa Ufalme wa Mungu katika Agano la Kale
Ulimwengu Ujao
Milele pamoja na Mungu na Kristo katika siku zisizo na mwisho za Ufalme
Kuishi katika Ufalme Uliopo Tayari, ambao bado haujaja (The Eschaton)
Kufanyika mwili :
Kuanzishwa kwa ufalme katika Yesu wa Nazareti
Wakati Huu wa Sasa
Adui wa ndani: Mwili ( sarx ) na asili ya dhambi Adui wa nje: Ulimwengu ( kosmos ) mifumo ya dhuluma, tamaa na kiburi Adui wa kuzimu: Shetani ( kakos ) Roho yenye kuleta uongo na hofu
Mtazamo wa Kiyahudi Kuhusiana na Wakati
Wakati wa Sasa
Wakati Ujao
Kuja kwa Masihi Urejesho wa Israeli Mwisho wa kukandamizwa na watu wa mataifa Kurejea kwa dunia katika utukufu wa Edeni Ulimwengu wote kumjua Bwana
Made with FlippingBook - Share PDF online