Mungu Mwana – Mwongozo wa Mkufunzi: Capstone Module 10 Swahili Mentor Guide
2 0 4 /
M U N G U M W A N A
Muhtasari wa Tafsiri za Kimasihi katika Agano la Kale (muendelezo)
Rejea ya Biblia
Muhtasari wa Tafsiri za Kimasihi
UKK DAJ
EAJ MWK
Masihi anaokoka nguvu za kifo na kuwa Jiwe kuu la Pembeni, Jiwe Kuu la jengo la Mungu
15
Zab. 118
X X
16
Zab. 78:1-2
Masihi atazungumza na watu kwa mifano
X
Shauku ya Masihi kwa ajili ya nyumba ya Mungu italeta chuki na matusi, lakini adui zake watapata haki yao
17
Zab. 69
X X
18
Zab. 109
Yule anayemsaliti Masihi atapata maafa mabaya sana
X X
Baada ya mateso yasiyo na kifani, Masihi anashinda kifo na kufurahi pamoja na ndugu zake
19
Zab. 22
X X
Masihi anatawazwa katika Sayuni, anashinda upinzani dhidi yake, na kutawala juu ya uumbaji
20
Zab. 2
X
X X
21
Zab. 16
Yehova hataruhusu Masihi aone uharibifu katika Kaburi
X X
Masihi Muumba ni wa milele, ingawa atapata mateso makali
22
Zab. 102
X
Masihi ni Mungu, na amepakwa mafuta na Mungu kuketi juu ya kiti cha enzi cha milele; watu wake ni bibi arusi wake kipenzi Masihi ni kuhani mfalme kwa mfano wa Melkizedeki, naye ameketi mkono wa kuume wa Mungu, akitawala juu ya wanadamu wote.
23
Zab. 45
X
X
24
Zab. 110
X
X X
Masihi anatawala juu ya ufalme wa baraka na wa haki wa ulimwengu mzima
25
Zab. 72
X
X
26
Zab. 68
Masihi anashinda ushindi mkuu, kisha anapanda tena juu X
X X
Ayubu 9:33; 16:19-21; 17.3; 33:23-28
Mpatanishi, Mfasiri, Wakili, na Shahidi atatembea juu ya dunia katika siku za mwisho
27
Mkombozi atasimama juu ya dunia katika siku za mwisho na wenye haki watamwona
28 Ayubu 19:23-27
X
29
Yoeli 2:23
Mwalimu wa Ajabu atatokea na kuleta enzi ya utele
X
X
Musa wa Pili atawaongoza watu wa Mungu kutoka utumwani hadi katika enzi mpya yenye utukufu
30 Hosea 1:10-2.1
X
Baada ya uhamisho, watu wa Mungu watamtumikia Yehova Mungu wao, na Daudi mfalme wao
31
Hos. 3:5
X
Mungu anamwita Mwana wake, Israeli wa Pili, kutoka Misri
32
Hos. 11:1
X
Made with FlippingBook - Share PDF online