Mungu Mwana – Mwongozo wa Mkufunzi: Capstone Module 10 Swahili Mentor Guide
2 1 0 /
M U N G U M W A N A
Majina, Vyeo, na Sifa za Masihi katika Agano la Kale (muendelezo)
75. Mwana wa Adamu, Zab. 8:4; Dan. 7:13 76. Mwana wa Mungu, 2 Sam. 7:14; Zab. 2:7 77. Mwanadamu, Zek. 6:12; 13:7 78. Mwisho, Ayubu 19:25 79. Mzaliwa wa kwanza, Zab. 89:27 80. Mzao wa Daudi, 2 Sam. 2:12 81. Mzao wa Ibrahimu, Mwa 12:3; 18:18 82. Mzizi kutoka kwenye Ardhi Kavu, Isa. 53:2
49. Mkombozi, Isa. 42:7 50. Mkuu, Ezek. 37:25; 44-48 51. Mkuu, Hos. 1.11; Mika 2:13 52. Mpatanishi, Ayubu 33:23
53. Mpondaji, Mwa. 3:15 54. Mponyaji, Isa. 42:7 55. Msafishaji, Mal. 3:2 56. Mshauri wa Ajabu, Isa. 9:6 57. Mshindi, Zab. 68:18 58. Msimulizi wa mafumbo, Zab. 78:1-2 59. Msingi, Isa. 28:16; Zek. 10:4 60. Msumari (kigingi), Zek. 10:4 61. Mtawala wa Bethlehemu, Mika 5:2 62. Mtawala wa Dunia, Isa. 16:5 63. Mtawala wa Kikuhani, Yer. 30:21; Zek. 6:13 64. Mtawala wa Uumbaji wote, Zab. 8:5-8 65. Mteswa aliyeachwa, Zab. 22 66. Mteswa Badala, Isa. 53 67. Mtu wa Huzuni, Isa. 53:3 68. Mtumishi, Isa. 42:1; 49:3, 6 69. Mungu Mwenye Nguvu, Isa. 9:6 70. Mungu, Zab. 45:6-7 71. Musa wa Pili, Hos. 11:1 72. Mvunjaji, Mika 2:13 73. Mwalimu kwa ajili ya Haki, Yoeli 2:23 74. Mwalimu, Isa. 30:20
83. Nabii kama Musa, Kumb. 18:15,18 84. Nuru ya Mataifa, Isa. 42:6; 49:6 85. Nuru, Isa. 9:2 86. Nyota, Hes. 24:17 87. Pembe ya Daudi, Zab. 132:17 88. Pete yenye muhuri, Hag. 2:23 89. Shahidi kwa Watu, Isa. 55:4 90. Shahidi, Ayubu 16:19 91. Shilo, Mwa. 49:10 92. Shujaa Mwenye Nguvu, Zab. 45:3 93. Taa ya Daudi, Zab. 132:17 94. Tamaa ya Mataifa yote, Hag. 2:7 95. Upinde wa vita, Zek. 10:4 96. Uzao wa Mwanamke, Mwa. 3:15 97. Wakili, Ayubu 16:19 98. Yeye Ajaye, Zab. 118:26 99. Yeye alinganaye nami, Zek. 13:7 100. Zerubabeli, Hag. 2:23
Made with FlippingBook - Share PDF online