Mungu Mwana – Mwongozo wa Mkufunzi: Capstone Module 10 Swahili Mentor Guide
2 1 8 /
M U N G U M W A N A
K I A M B A T I S H O C H A 3 2 Kuonekana kwa Masihi Aliyefufuka Dr. Don L. Davis
Kuonekana
Andiko
1
Kumtokea Mariamu Magdalena
Yohana 20:11-17; Marko 16:9-11
2
Kuwatokea wanawake
Mathayo 28:9-10
3
Kumtokea Petro
Luka 24:34; 1 Cor. 15:5
4
Kuwatokea wanafunzi njiani wakielekea Emau
Marko 16:12-13; Luka 24:13-35
Kuwatokea wanafunzi kumi, wanaotajwa kama “Kumi na mmoja” (Tomaso akiwa hayupo)
5
Marko 16:14; Luka 24:36-43; Yohana 20:19-24
Kuwatokea wale Kumi na mmoja wiki moja baadaye, Tomaso akiwemo miongoni mwao
6
Yohana 20:26-29
7 Kuwatokea wanafunzi saba kandokando mwa bahari ya Galilaya
Yohana 21:1-23
8
Kuwatokea wale miatano
1 Wakorintho 15:6
9
Kumtokea Yakobo, nduguye Bwana
1 Wakorintho 15:7
Kuwatokea wale wanafunzi kumi na mmoja kwenye mlima wa Galilaya*
10
Mathayo 28:16-20
Kuonekana kwa wanafunzi wake wakati wa kupaa kwake kwenye Mlima wa Mizeituni *
11
Luka 24:44-53; Mdo 1:3-9
Kumtokea Stefano kabla ya kifo chake kama shahidi wa kwanza wa Kanisa
12
Matendo 7:55-56
Matendo 9:3-6; rej. 22:6-11; 26:13-18; 1 Kor. 15:8
13
Kumtokea Paulo njiani kuelekea Dameski
14
Kumtokea Paulo huko Arabia
Matendo 20:24; 26:17; Gal. 1:12,17
15
Kumtokea Paulo hekaluni
Matendo 22:17-21; rej. 9:26-30; Gal. 1:18
16
Kumtokea Paulo gerezani Kaisaria
Matendo 23:11
17 Kumtokea Yohana akiwa uhamishoni katika kisiwa cha Patmo
Ufunuo 1:12-20
* Vipengee 10 na 11 vinaeleza matukio yanayojulikana kwa kawaida kama “Agizo Kuu” na “Kupaa,” mtawalia.
Made with FlippingBook - Share PDF online