Mungu Mwana – Mwongozo wa Mkufunzi: Capstone Module 10 Swahili Mentor Guide

/ 2 2 1

M U N G U M W A N A

K I A M B A T I S H O C H A 3 5 Miujiza ya Yesu Imechukuliwa kutoka katika The Bible Made Easy. Peabody: Hendrickson Publishers, 1997.

1 Kubadilisha maji kuwa divai

Yohana 2:1-11

19

Binti wa Yairo afufuliwa

Luka 8:41-56

2 Mtoto wa Akida aponywa

Yohana 4:46-54

Mwanamke aliyetokwa damu aponywa

20

Luke 8:43-48

Kiwete karibu na bwawa la Bethzatha

3

Yohana 5:1-9

Kijana aliyepagawa pepo afunguliwa

21

Luka 8:43-48

4

Mtu aliyezaliwa kipofu

Yohana 9:1-41

Bubu, aliyepagawa na pepo aponywa

22

Luka 9:38-43

5 Lazaro afufuliwa katika wafu

Yohana 11:1-44

Mwanamke mwenye kupinda mgongo anyooshwa

6

Samaki 153 wavuliwa

Yohana 21:1-11

23

Luka 13:11-13

7 Yesu atembea juu ya maji

Yohana 6:19-21

24

Wakoma kumi watakaswa

Luka 17:11-19

8

Watu 5,000 walishwa

Yohana 6:5-13

Batholomayo kipofu aponywa

25

Luka 18:35-43

Mtu mwenye pepo afunguliwa

9

Luka 4:33-35

26

Sikio la Malko larejeshwa

Luka 22:50-51

Mama mkwe wa Petro aponywa

10

Luka 4:38-39

27 Vipofu wawili waponywa Mathayo 9:27-31

28 Bubu wenye pepo waponywa Mathayo 9:32-33

11 Uvuvi mkubwa wa samaki

Luka 5:1-11

Sarafu kwenye mdomo wa samaki

12 Mwenye ukoma atakaswa

Luka 5:12-13

29

Mathayo 17:24-27

13 Mtu aliyepooza aponywa

Luka 5:18-25

Binti wa mwanamke awa mzima

30

Mathayo 15:21-28

Mkono uliopooza wafanywa kuwa mzima

14

Luka 6:1-10

31

Watu 4,000 walishwa

Mathayo 15:32-38

15 Mtumwa wa Akida aponywa

Luka 7:1-10

32

Mtini walaaniwa

Mt. 21:18-22

Mwana aliyekufa wa mjane afufuka

16

Luka 7:11-15

33 Kiziwi na bubu aponywa

Marko 7:31-37

34

Kipofu arejeshewa kuona

Marko 8:22-26

17

Kutuliza dhoruba

Luka 8:22-25

Mtu aliye na ugonjwa wa safura aponywa

Mtu mwenye Legioni (Jeshi) la pepo wachafu afunguliwa

35

Luka 14:1-4

18

Luka 8:27-35

Made with FlippingBook - Share PDF online