Mungu Mwana – Mwongozo wa Mkufunzi: Capstone Module 10 Swahili Mentor Guide

2 4 4 /

M U N G U M W A N A

Yesu na Maskini (muendelezo)

C. Huduma kwa maskini kama msingi wa huduma yake ya uzinduzi

II. Yesu Alithibitisha Huduma Yake Kupitia Matendo Yake Kwa Maskini.

A. Swali la Yohana kuhusu uhalisia wa Yesu, Luka 7:18-23 Luka 7:18-23 - Wanafunzi wa Yohana wakamletea habari za hayo yote. 19 Ndipo Yohana alipowaita wawili katika wanafunzi wake, akawatuma kwa Yesu akiuliza, Wewe ndiwe yule ajaye, au tumtazamie mwingine? 20 Nao walipofika kwake, walisema, Yohana Mbatizaji ametutuma kwako, akisema, Wewe ndiwe yule ajaye, au tumtazamie mwingine? 21 Na saa ile ile aliwaponya wengi magonjwa yao, na misiba, na pepo wabaya; na vipofu wengi aliwakirimia kuona. 22 Ndipo alipojibu, akawaambia, Nendeni mkamweleze Yohana hayo mliyoyaona na kuyasikia; VIPOFU WANAPATAKUONA, viwete wanatembea, wenye ukoma wanatakasika, viziwi wanasikia, wafu wanafufuliwa, MASKINI WANAHUBIRIWA HABARI NJEMA. 23 Naye heri mtu ye yote asiyechukizwa nami. B. Masihi halisi asimame, tafadhali ! 1. Swali la Yohana, 19-20 2. Matendo ya Yesu, 21 (upande wa madhihirisho ya “onyesha-na kusema”) 3. Maelezo ya utambulisho wake, 22-23 a. Nendeni mkamweleze Yohana yale mliyoyaona na kuyasikia. b. Vipofuwanaona, viwete wanatembea, wenye ukoma wanatakasika, viziwi wanasikia, wafu wanafufuliwa, maskini wanahubiriwa habari njema.

C. Huduma kwa maskini ni uthibitisho usiopingika wa utambulisho wa Masihi.

Made with FlippingBook - Share PDF online