Mungu Roho Mtakatifu, Kitabu cha Mwanafunzi, Capstone Module 14 Swahili Student Workbook

/ 7 7

M U N G U R O H O M T A K A T I F U

MAZOEZI

Warumi 8:18-21

Kukariri Maandiko

Ili kujiandaa kwa ajili ya kipindi, tafadhali tembelea www.tumi.org/books kupata kazi ya usomaji ya wiki ijayo, au muulize Mkufunzi wako.

Kazi ya Usomaji

Tafadhali soma kwa umakini kazi zilizo hapo juu na kama ilivyokuwa kwa wiki iliyopita, ziandikie muhtasari kwa ufupi na ulete muhtasari huo kwenye kipindi wiki ijayo (tafadhali angalia “Fomu ya Ripoti ya Usomaji” mwishoni mwa somo hili). Pia, sasa ni wakati wa kuanza kufikiria kuhusu aina ya kazi yako ya huduma, na pia kuamua ni kifungu gani cha Maandiko utakachochagua kwa ajili ya kazi yako ya Ufafanuzi. Usichelewe kufanya maamuzi kuhusiana na kazi yako ya huduma na ile ya ufafanuzi wa Maandiko. Kadiri utakavyofanya maamuzi mapema, ndivyo utakavyokuwa na muda wa kutosha kujiandaa! Somo letu linalofuata, somo la tatu la moduli yetu ya Mungu Roho Mtakatifu linaitwa Uwepo Wenye Nguvu wa Roho Mtakatifu. Katika somo hili tutaanza kuchunguza kazi ambayo Roho anafanya katika maisha ya mkristo. Hasa, tutazingatia namna ambavyo Roho hutuzaa upya na kutufanya wana katika familia ya Mungu. Pia tutachunguza maana ya “kubatizwa katika Roho Mtakatifu,” ikijumuisha baadhi ya njia ambazo mapokeo mbalimbali ya Kikristo yanatafsiri dhana hii ya kibiblia.

Kazi Nyingine

2

Kuelekea Somo Linalofuata

Made with FlippingBook Digital Proposal Maker