Mungu Roho Mtakatifu, Kitabu cha Mwanafunzi, Capstone Module 14 Swahili Student Workbook

/ 8 5

M U N G U R O H O M T A K A T I F U

1. Kuzaa Upya au Regeneration

2. Kufanya Wana au Adoption

3. Ubatizo au Baptism

4. Kutoa Vipawa au Bestowing Gifts

5. Kukaa Ndani au Indwelling

6. Kutia Muhuri na Kutakasa au Sealing and Sanctifying

3

[Zingatia: kama kazi hizo zingepata njia ya kukumbukwa kwa kiswahili basi zingetengeneza ufipisho: KKUKKK].

II. Roho Mtakatifu Anatuzaa Upya.

A. Neno la kitheolojia kuzaliwa upya:

1. Linatokana na Neno la Kiyunani palingenesia

2. Linamaanisha “kuzaliwa mara ya pili” au “kufanywa upya”

3. Linatumika kuelezea badiliko kamili katika kila eneo la utu wetu.

B. Kuzaliwa upya kunatokea tunapoongoka (kuokoka kupitia imani katika Kristo Yesu).

Made with FlippingBook Digital Proposal Maker