Mungu Roho Mtakatifu, Kitabu cha Mwanafunzi, Capstone Module 14 Swahili Student Workbook
/ 9 3
M U N G U R O H O M T A K A T I F U
Hadithi ya Yona katika Agano la Kale inaakisi kwa kiasi fulani maana hii ya kuwa mtu ambaye ni mali ya Mungu. Shairi lifuatalo daima limenisaidia kupata picha halisi ya kazi ya Roho katika maisha ya Yona na katika maisha yetu wenyewe.
Dokezo kwa ajili ya Huduma Ukishamkubali Kristo kama Bwana, Roho Mtakatifu hataomba tena ruhusa ya Mojawapo ya furaha kuu ya kuwa Mkristo ni kwamba hautabaki peke yako tena. Kama vile wazazi wetu wa asili, Mungu, Baba yetu hatuachi tena kufanya chochote tunachotaka. Wazazi hawahitaji ruhusa ya kuingilia maisha yetu. Wengi wetu tunaelewa maana ya kuwa na wazazi wanaotujali, la. Kuasiliwa katika familia ya Mungu kunazaa uhusiano wa karibu sana wa aina hiyohiyo kati yetu na Baba yetu wa mbinguni. wanaotuongoza, na kutuadibisha, iwe tunataka au kuingilia mambo ya maisha yako.
Mvamizi Mkuu Inatia hasira kuendelea kuitwa hivyo wakati ndani yetu hatuna kabisa wazo wala nia
ya kuinuka na kwenda bali Mungu huchagua kuendelea kututafuta kama Roho Mtakatifu.
3
~ Thomas John Carlisle. You! Jonah! Grand Rapids, MI: Eerdmans, 1968.
5. Kufanywa wana humweka mtu katika mstari wa kupokea urithi kutoka kwa Mungu.
a. Mathayo 25:34
b. Kama washiriki wa familia ya Mungu tunarithi Ufalme wa Mungu (Mt. 25:34; Kol. 1:12-13; Efe. 1:13-14; 1 Pet. 1:3-4).
c. Mstari wa Msingi: Kol. 1:12-13
Made with FlippingBook Digital Proposal Maker