The Kingdom of God, Swahili Student Workbook

1 8 8 /

UFALME WA MUNGU

Baraka Thelathini na Tatu Katika Kristo (muendelezo)

29. M wumini kwa umuhimu ameungana na Baba na mwana na Roho Mtakatifu – 1The 1.1; Efe 4.6; Rum 8.1; Yohana 14.20; Rum.8.9; 1Kor. 2.12. 30. M wumini amebarikiwa na matunda ya kwanza ya Roho – Efe. 1.14; 8.23. Amezaliwa kwa Roho (Yoh.3:6) na kubatizwa kwa Roho (1Wakor.12:13) ambayo ni kazi ya Roho Mtakatifu ambayo kwayo mwumini huunganishwa kwa mwili w kristo na anakuja kuwa “ndani ya Kristo” na kwa hiyo anakuwa mshirika wa yote Kristo alivyo. Mwanafunzi pia anakuwa na Roho Matakatifu anaye kaa ndani yake (Warumi 8:9), ametiwa muhuri na Roho (2Kor.1:22) na kumfanya kuwa salama milele, na amejazwa na Roho (Waefeso 5:18) ambaye huduma yake ni kuachilia nguvu zake zinazofaa katika moyo anamokaa. 31. Mwumini anatukuzwa – Rum. 8.18. Atakuwa mshiriki wa hadithi isiyokoma ya Mungu. 32. Mwumini ni kamili katika Mungu – Kol 2.9,10 anashiriki yote ambayo Kristo alivyo. 33. Mwumini ana kila Baraka za kiroho – Efe 1.3. Utajiri wote ulioorodheshwa katika dondoo 32 kabla ya hii zinapaswa kujumlishwa katika neno la jumla “Baraka zote za kiroho”.

Made with FlippingBook - Online catalogs