The Kingdom of God, Swahili Student Workbook
/ 2 5 9
UFALME WA MUNGU
KIAMBATISHO CHA 29 Mitazamo Mitano ya Uhusiano kati ya Kristo na Utamaduni Kulingana na Christ and Culture cha H. Richard Niebuhr, New York: Harper na Row, 1951
Kristo Mbadilishaji wa Utamaduni
Kristo dhidi ya Utamaduni
Kristo na Utamaduni katika Kitendawili
Kristo juu ya Utamaduni
Kristo wa Utamaduni
Upinzani
Mvutano
Uongofu
Ushirikiano
Kukubalika
Kwa maana watu wa Mataifa wasio na sheria wafanyapo kwa tabia zao yaliyo ndani ya torati, hao wasio na sheria wamekuwa
Kila kutoa kuliko kwema, na kila kitolewacho kilicho kamili, hutoka juu,
Kwa maana katika kuweka vitu vyote chini yake hakusaza kitu kisichowekwa chini yake. Lakini sasa bado hatujaona vitu vyote kutiwa chini yake - Ebr. 2:8.
Kwa hiyo, Tokeni kati yao, Mkatengwe nao, asema Bwana, Msiguse kitu kilicho kichafu, Nami nitawakaribisha. - 2 Kor. 6:17
Mpeni Kaisari yaliyo ya Kaisari, na Mungu yaliyo ya Mungu - Mt. 22:21
hushuka kwa Baba wa mianga; kwake hakuna kubadilika, wala kivuli cha kugeuka geuka - Yakobo 1:17
sheria kwa nafsi zao wenyewe - Warumi 2:14.
(taz. 1 Pet. 2:13-17)
(taz. 1 Yohana 2:15)
(taz. Kol. 1:16-18)
(taz. Flp. 4:8)
(taz. Rum. 13:1, 5-6)
Utamaduni ni zao la akili za kibinadamu na ni sehemu ya njia iliyotolewa na Mungu ya kuigundua kweli. Ingawa utamaduni unaweza kutambua ukweli halisi, dhambi inawekea mipaka uwezo wake ambao lazima usaidiwe na ufunuo. Hutafuta kutumia utamaduni kama hatua ya kwanza kuelekea ufahamu wa Mungu na ufunuo wake.
Utamaduni ni zawadi ya Mungu ya kumsaidia mwanadamu kushinda utumwa wake kwa
Utamaduni umeathiriwa kwa kiasi kikubwa na dhambi lakini una jukumu la kutekeleza. Ni muhimu kuainisha kati ya nyanja: Utamaduni kama sheria (huzuia uovu), Ukristo kama neema (hutoa haki). Zote mbili ni sehemu muhimu ya maisha lakini haziwezi kuchanganywa au kuunganishwa.
Utamaduni umeathiriwa kwa kiasi kikubwa na dhambi lakini unaweza kukombolewa ili kuwa na nafasi nzuri katika kurejesha haki. Wakristo wanapaswa kufanya kazi ili utamaduni wao utambue ukuu wa Kristo na uweze kubadilishwa nao.
Utamaduni umeathiriwa kwa kiasi kikubwa na dhambi na daima unapingana na mapenzi ya Mungu. Kujitenga na upinzani ndio mwitikio wa kawaida wa jumuiya ya Kikristo ambayo yenyewe ni utamaduni mbadala.
uumbaji asilia na woga na kusonga
mbele katika maarifa na wema. Utamaduni wa kibinadamu ndio unaowezesha kuhifadhi kweli ambayo binadamu wamejifunza.
Mafundisho ya maadili ya Yesu
yanainua utamaduni wa mwanadamu juu kwenye kiwango kipya.
Tertullian Menno Simons
Mtakatifu Augustino John Calvin
Thomas Aquinas
Peter Abelard Imanual Kant
Martin Luther
Kanisa Katoliki la Roma
Walutheri
Waanabaptisti
Wana Mageuzi
Uprotestanti Huria
Made with FlippingBook - Online catalogs