The Kingdom of God, Swahili Student Workbook

/ 2 6 9

UFALME WA MUNGU

Rum 6.3-4

Efe 2.4-7, Kol 3.3

Tumezikwa pamoja naye

Efe 2.6

Gal 2.20

Tumekufa pamoja naye Rum 6.3-4, Kol 3.3

Tumefufuliwa pamoja naye

Tumepaa pamoja naye

Tumesulubiwa pamoja naye

1Kor 12.13

Tumebatizwa ndani yake

Efe 2.6

ulimwengu wa kiroho

Akatuketisha pamoja naye katika

1Kor 6.15-17

wetu kamili na Kristo Yohana 15.4-5

“Katika Kristo”

Siri ya utambulisho

1 The 4.13-18

Tumefanywa “mmoja na Kristo”

Tutanyakuliwa pamoja naye

Ufu 3.21

Tukiteswa pamoja naye Rum 8.17-18

Rum 8.17

Rum 8.17

Tutafafana naye 1 Yohana 3.2

1 Kor 15.48-49

Tutatawala pamoja naye milele

Tutatukuzwa pamoja naye

Tutakuwa warithi pamoja naye

Na tutafufuliwa katika yeye

KIAMBATISHO CHA 35 Ndani ya Kristo Mch. Dkt. Don L. Davis

Made with FlippingBook - Online catalogs