Theology of the Church, Swahili Student Workbook
/ 1 4 1
THEOLOJIA YA KANISA
b. Efe. 5:2
c. Fil. 2:5
d. 1 Yoh. 2:6
2. Kama watu tunaomwamini, tunapaswa kumwiga. Mola wetu hakulipiza kisasi. Hakulipiza ubaya kwa ubaya. Kisasi ni cha Mungu, Rum. 12:17-21.
3. Tunapaswa kutenda mema, kukabili maovu, bali kutenda haki, kutenda mema na kuwa tayari kuteseka. Kukabili uovu lakini si lazima kushinda. Petro anatupa mfano wa kufuata hatua za Yesu kama mtu ambaye kwa kielelezo alijitoa mwenyewe hata kifo cha msalaba, 1 Pet. 2:21-24.
4
Hitimisho
» Kwa kweli tunapaswa kufanya kazi za Mungu.
» Tumeona jinsi picha za Agano Jipya zinavyotusaidia kuelewa jukumu hilo:
Kama nyumba ya Mungu,
»
Mwili wa Kristo,
»
Hekalu la Roho,
»
Kama mabalozi wa Yesu, na
»
Kama askari katika jeshi la Mungu.
»
» Tunapaswa kufanya kazi za Mungu na hivyo kuhudumu katika jina la Mungu mjini na kwingineko.
Made with FlippingBook flipbook maker