Theolojia Katika Picha

Jiwe Walilolikataa Waashi Limekuwa Jiwe Kuu la Pembeni

Theolojia Katika Picha Orodha ya A-Z ya Vielelezo, Chati, Michoro na Makala Muhimu za TUMI

T H E U R B A N M I N I S T R Y I N S T I T U T E h u d u m a y a WO R L D I M PA C T , I N C . Mch. Dkt. Don L. Davis na michango kutoka kwa Mch. Terry Cornett na Mch. Don Allsman

1 Mpangilio

1

U M

T

K U

A

Msimamo

Migogoro

H E

M I S

N A

W A

R I

K U

2

10

S A

W A

4 ; 1

A N I

3 : 1

5 , 3

o 1

9 , 4

M d

6

N A

R I

S I L I

5 : 1 E N A

M A K AA M

o 1 H A

K A

D H

I S H

- 4

M d

Y A

Mambo ya Muhimu na Utangulizi wa Hadithi

N

M A

A

F

T I K

I R A

H A

A N

7 ; 1

D

3 : 1

A

N I S

A M

4 : 2 A W

L E N

6 , 2

L I

Fumbo katika Simulizi

4 - 1

Z I

T U M

T A

G W

6 , 1

J I

o 1

K U

L I Y O

4 : 1

AA

M d

K U

Y A

F

A

N

Y

A

0

O

4 : 1

Maana: Uhalisia, fundisho na thamani

4 Dhamira

2 Wahusika

T

M d

A

M P I

N O

U I

L E

K U

3 1

9

3

o 1

D E

S I A

N

H U

8 : 2

I N J

ROHO MTAKATIFU KIONGOZI WA KIUNGU WA SHUGHULI YA UMISHENI Matendo 13:2, 52 MAOMBI KAMA MAZINGIRA Matendo 13:1-4 MAANDIKO KAMA MSINGI Matendo 15:15 KANISA KAMA WAKALA Matendo 15:22

3 : 1

J I

E N

6 , 1

H U

B I R I

I L I

A

7 - ;

L I

N A

A

C H

A

5 : 3

M A

1 6 :

S

N Z

Y A

W E Z E S H

M d o 1

K I P I N D I

T I

3 1

A

K A Z I

W A N A

Dhihaka, Kejeli na Haki

Majaribio na Machaguo

M d o

W A

1 5

W A

A J I

P O

1 4 ,

A M

1 4 :

O L E

I L I Z

N G

1 6 :

2 3 ;

I N I

8

S I K

O K

E Z

4 8 ;

4

1 6 :

3 Kisa

W A

W A

N A

1 3 :

4 0

Muunganiko wa Hadithi

Maendeleo na Ukuaji

W A

M d o

A

A

D

A

N

A

U N

I K

N Y

U O W K

A W M d o

K A

I N I S A

N G

S A

E K

N Y I

K U

O Z I W A

A M K U

K U

L E

A

W A

A

4 3

1 3 :

1 4 :

N A

K F U

2 3

M d o

W A

5

7

I M H I B

A

N I

I N

A T

W A

I T

I S H

M d o

4 1

1 4 :

1 5 :

2 1 ,

2 2 ;

6

Mkristo Mchanga Muumini mpya na maadili ya kiroho

Mkristo pevu Mwumini aliyekomaa na maadili ya kiroho Matumizi ya Uaminifu Kujaa neema Uiitikiaji bila kuwaza Starehe Uridhikaji binafsi Wema Umahiri Kufunza wengine

U

p

o

a t

p

e

a n

w

Shauku ya moyo Lengo lililowazi Mpango unaowezekena

i s

U

h

Yenye mafadhaiko Kutokuwa na ujuzi Makosa Ujeuri Isiyoeleweka Kutokuwa na raha Uzembe

o

o

M

Utetezi thabiti Maarifa sahihi Juhudi za uaminifu Mfano mzuri Muda wa wakati ulioongezwa uvumilivu

a n

U

a t

F

g

I

H

e s

L

A

M I

A

o

K I

Utukufu wa Mungu

A

U K

M

a t

a

a d

e n

I b

d

Matumizi sahihi ya maadili ya kiroho mara kwa mara

o

Kiwango cha ufanyaji wa mwanafunzi anayeanza

U

H

U

U

R

K u s

h u

o

i t

h u

W

d i a

I

m a

n i

1

2

3

J i n

s i

K i

i

o n

a n

g o

i N

z i

Mawazo binafsi ya viongozi wa Kanisa, nafasi na mamlaka

i n

w a

i n

Roho na Neno

Roho na Neno

M j

M j

i n

w a

i A

z i

Imani na msimamo Tabia Uthubutu Mawasiliano

Utii Urafiki Kuaminiwa Kutegemewa

n a

g o

v y

o n

o h

K i

u s

i a

Kiongozi wa Kanisa kama Mpatanishi

Roho na Neno

n a

Uwakilishi Anawajibika kwa nani Kwa niaba ya nani Ili kukamilisha kazi gani Wapi Kwa sababu zipi Kwa mamlaka gani

K a z i

Kiongozi wa Kanisa anayefundishika

A n

Kielelezo Utekelezaji Usimamizi Ushirikiano

Mapokeo Ubunifu Werevu Kiwango cha uthubutu (kukubali hatari)

a

Mfuasi

Mfuasi

Mfuasi

n y

a c

f a

h o

y o

f a

a v

Kiongozi wa Kanisa kama Dikteta

Kiongozi wa Kanisa kama Mpatanishi

Kiongozi wa Kanisa kama Askari

n y

A n

a

K i

i n i

o n

M j

g o

w a

z i

w a

i

o z

M j

n g

i n

K i o

i

n s i

J i

Jiwe Walilolikataa Waashi Limekuwa Jiwe Kuu la Pembeni

Theolojia Katika Picha Orodha ya A-Z ya Vielelezo, Chati, Michoro na Makala Muhimu za TUMI

T H E U R B A N M I N I S T R Y I N S T I T U T E h u d u m a y a WO R L D I M PA C T , I N C . Mch. Dkt. Don L. Davis na michango kutoka kwa Mch. Terry Cornett na Mch. Don Allsman

1 Mpangilio

Msimamo

Migogoro

1

Mambo ya Muhimu na Utangulizi wa Hadithi

Fumbo katika Simulizi

U M

T

K U

A

H E

M I S

N A

o 1 W A

R I

K U

2

10

S A

W A

4 ; 1

A N I

3 : 1

5 , 3

9 , 4

M d

6

N A

R I

S I L I

E N A

M A K A M

o 1 H A

K A

D H

I S H

- 4

M d

5 : 1

Y A

N

M A

A

F

T I K

I R A

H A

A N

7 ; 1

D

3 : 1

A

N I S

A M

A W

L E N

6 , 2

L I

4 - 1

Z I

T U M

4 : 2

T A

G W

6 , 1

J I

o 1

Maana: Uhalisia, fundisho na thamani

K U

L I Y O

4 Dhamira

2 Wahusika

4 : 1

A

M d

K U

Y A Y A

F

A

N

Y

A

0

O

4 : 1

T

M d

A

M P I

N O

U I

L E

K U

3 1

9

3

o 1

D E

S I A

N

H U

8 : 2

I N J

ROHO MTAKATIFU KIONGOZI WA KIUNGU WA SHUGHULI YA UMISHENI Matendo 13:2, 52 MAOMBI KAMA MAZINGIRA Matendo 13:1-4 MAANDIKO KAMA MSINGI Matendo 15:15 KANISA KAMA WAKALA Matendo 15:22

3 : 1

J I

E N

6 , 1

H U

B I R I

I L I

A

7 - ;

L I

N A

A

C H

A

5 : 3

M A

1 6 :

S

N Z

Y A

W E Z E S H

M d o 1

K I P I N D I

T I

3 1

A

Dhihaka, Kejeli na Haki

Majaribio na Machaguo

K A Z I

W A N A

M d o

3 Kisa

W A

1 5

W A

A J I

Muunganiko wa Hadithi

P O

1 4 ,

A M

1 4 :

Maendeleo na Ukuaji

O L E

I L I Z

N G

1 6 :

2 3 ;

I N I

8

S I K

O K

E Z

4 8 ;

4

1 6 :

W A

W A

N A

1 3 :

4 0

W A

M d o

A

A

D

A

N

A

U N

I K

N Y

U O

A W M d o

K A

I N I S A

N G

S A

E K

N Y I

K U

O Z I W A

A M K U

W A

K U

L E

W A W A

A

4 3

1 3 :

1 4 :

N A

K F U

2 3

M d o

W A

5

7

I M H I B

A

N I

I N

A T

W A

I T

I S H

Mkristo Mchanga Muumini mpya na maadili ya kiroho

Mkristo pevu Mwumini aliyekomaa na maadili ya kiroho Matumizi ya Uaminifu Kujaa neema Uiitikiaji bila kuwaza Starehe Uridhikaji binafsi Wema Umahiri Kufunza wengine

M d o

4 1

1 4 :

1 5 :

2 1 ,

2 2 ;

6

Shauku ya moyo Lengo lililowazi Mpango unaowezekena

U

p

o

Yenye mafadhaiko Kutokuwa na ujuzi Makosa Ujeuri Isiyoeleweka Kutokuwa na raha Uzembe

a t

p

e

a n

w

i s

U

h

o

Utetezi thabiti Maarifa sahihi Juhudi za uaminifu Mfano mzuri Muda wa wakati ulioongezwa uvumilivu

o

M

a n

U

a t

F

g

I

H

e s

L

A

M I

A

o

K I

Utukufu wa Mungu

A

U K

M

a t

a

a d

e n

I b

Matumizi sahihi ya maadili ya kiroho mara kwa mara

d

Kiwango cha ufanyaji wa mwanafunzi anayeanza

o

U

H

U

U

R

K u s

h u

o

i t

h u

W

d i a

I

m a

n i

1

2

3

J i n

s i

K i

i

o n

a n

g o

i N

z i

Mawazo binafsi ya viongozi wa Kanisa, nafasi na mamlaka

i n

w a

i n

M j

Roho na Neno

Roho na Neno

M j

i n

w a

i A

z i

Imani na msimamo Tabia Uthubutu Mawasiliano

Utii Urafiki Kuaminiwa Kutegemewa

n a

g o

v y

o n

o h

K i

u s

i a

n a

Uwakilishi Anawajibika kwa nani Kwa niaba ya nani Ili kukamilisha kazi gani Wapi Kwa sababu zipi Kwa mamlaka gani

Kiongozi wa Kanisa kama Mpatanishi

Roho na Neno

K a z i

Kiongozi wa Kanisa anayefundishika

A n

Kielelezo Utekelezaji Usimamizi Ushirikiano

Mapokeo Ubunifu Werevu Kiwango cha uthubutu (kukubali hatari)

a

n y

a c

Mfuasi

Mfuasi

Mfuasi

f a

h o

y o

f a

a v

n y

A n

a

Kiongozi wa Kanisa kama Dikteta

Kiongozi wa Kanisa kama Mpatanishi

Kiongozi wa Kanisa kama Askari

K i

i n i

o n

M j

g o

w a

z i

w a

i

o z

M j

n g

i n

K i o

i

n s i

J i

TUMI Press | 3701 East Thirteenth Street North, Suite 100 | Wichita, Kansas 67208

Theolojia Katika Picha Orodha ya A-Z ya Vielelezo, Chati, Michoro na Makala Muhimu za TUMI

Toleo hili lina viambatisho vilivyokusanywa kutoka katika mtaala wa TUMI wa ngazi ya seminari wenye moduli 16 uitwao Mtaala wa Capstone .

Mtaala huu ni matokeo ya maelfu ya masaa ya kazi iliyofanywa na taasisi ya The Urban Ministry Institute (TUMI) na haupaswi kudurufu bila idhini ya taasisi hiyo. TUMI inatoa idhini kwa yeyote anayehitaji kutumia vitabu hivi kwa ajili ya faida ya Ufalme wa Mungu, kwa kutoa leseni za kudurufu zenye gharama nafuu. Tafadhali thibitisha kwa Mkufunzi wako ikiwa kitabu hiki kimepewa leseni ipasavyo. Kwa taarifa zaidi kuhusu TUMI na taratibu zetu za utoaji leseni, tembelea www.tumi.org na www.tumi.org/license . Historia ya matoleo ya yaliyomo katika kitabu hiki kupitia Mtaala wa Capstone : © 2005, 2011, 2013, 2015, 2019 The Urban Ministry Institute. Haki zote zimehifadhiwa. Toleo la kwanza 2005, Toleo la Pili 2011, Toleo la Tatu 2013, Toleo la Nne 2015.

© 2024 Toleo la Kiswahili, kimetafsiriwa na Samuel Gripper na Eresh Tchakubuta.

Theolojia katika Picha Orodha ya A-Z ya Vielelezo, Chati, Michoro na Makala Muhimu za TUMI © 2019 The Urban Ministry Institute . Haki zote zimahifadhiwa.

ISBN: 978-1-62932-158-5

Hairuhusiwi kunakili, kusambaza na/au kuuza vitabu hivi, au matumizi mengine yoyote pasipo idhini, isipokuwa kwa matumizi yanayo ruhusiwa kwa mujibu wa sheria ya Haki Miliki ya Mwaka 1976 au kwa idhini ya maandishi kutoka kwa mmiliki. Maombi ya idhini yatumwe kwa maandishi kwa taasisi ya:

The Urban Ministry Institute , 3701 E. 13th Street, Suite 100 Wichita, KS 67208

The Urban Ministry Institute ni huduma ya World Impact, Inc.

Nukuu zote za Maandiko, isipokuwa kama imeonyeshwa vinginevyo, zimechukuliwa kutoka katika SWAHILI BIBLE UV050(MCR) series® Haki Miliki © 1997, iliyochapishwa na The Bible Society of Tanzania . Imetumiwa kwa ruhusa. Haki zote za kimataifa zimehifadhiwa.

Jedwali la Yaliyomo

Utangulizi

ix 1 2 6 12 14 18 22 24 26 27 29 30 39 40 41 46 47 49 51 52 64 74 75 76 78 85 86 87 88 89 91 98

Aina Sita za Huduma ya Agano Jipya kwa Jamii

Alama za Uongozi wa Kikristo

Baadhi ya Njia Ambazo Wakristo Hawakubaliani kuhusu Utakaso Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu wana Sifa na Kazi za Kiungu Zinazofanana

Baraka Thelathini na Tatu Katika Kristo Bibliografia ya Hamenetiki ya Biblia

Chati ya Masomo ya Biblia

Chati ya Zana za Masomo ya Biblia

Christus victor: Maono jumuishi kwa maisha ya mkristo na ushuhuda

Dhana za Ufalme

Dira ya Vipengele vya Masimulizi Funguo kwa Utafsiri wa Biblia Hadithi anayosimulia Mungu

Hadithi ya Mungu: Mizizi yetu Mitakatifu

Hadithi, Thilojia, na Kanisa Hadithi: Kiini cha Ufunuo

Hapo Zamani za Kale

Hatua za Kuandaa Wengine

Hema ya Musa

Huduma ya Kusifu na Kuabudu

Ili Tuwe Umoja Imani Ya Nikea

Jedwali Mpangilio wa Agano Jipya Jinsi ya kuanza kusoma Biblia

Jinsi ya KUPANDA Kanisa Kanuni Nyuma ya Unabii Kanuni ya Imani ya Mitume Kanuni ya Imani ya Nikea

Kanuni ya Mbadala

Karama za Rohoni Zinazotajwa Kimahususi katika Agano Jipya

Kazi ya Roho Mtakatifu katika Uongozi wa Kiroho

Kielelezo cha Uongozi wa Kanisa

Kiini na Chimbuko: Ukristo Ni Yesu Kristo

99 110 111 112 113 114 118 119 122 123 124 126 127 129 130 131 132 133 134 135 136 137 138 139 140 141 142 146 147 153 154 155 156 165 166 167 168

Kikosi cha Kitume Kipengele cha Oiko Kivuli na kitu kamili Kiwango cha Upokeaji

Kuangazia Mifumo Tofauti ya Fikra

Kubainisha Viongozi na Wajumbe wa Timu ya Kupanda Makanisa

Kuchagua Vigezo vya Uhuru Vinavyoaminika

Kuchukua Mtazamo wa Kiebrania kuhusiana na Kweli

Kuelekea Hemenetiki ya Ushirikiano Muhimu Kuelewa Biblia kwa sehemu na kwa Jumla Kuelewa Maono ya Mungu kwa Watu Wake

Kuendeleza Ufalme Mjini

Kufuasa Watu Waaminifu: Kujenga Viongozi kwa ajili ya Kanisa la Mjini

Kufuata Maisha ya Kristo Kila Mwaka

Kuhubiri na Kufundisha Yesu wa Nazareti kama Masihi na Bwana Ndio Moyo wa Huduma Yote ya Kibiblia

Kuishi Katika Ufalme Uliopo Tayari, Ambao Bado Haujaja

Kujitambua kwa Yesu Kristo

Kukuza Uongozi Halisi wa Kikristo

Kulenga Vikundi Visivyofikiwa katika Vitongoji vyenye Makanisa

Kuliendeleza Sikio Linalosikia

Kumwakilisha Yesu wa Nazareti kwa Uaminifu

Kumwasilisha Masihi

“Kuna Mto”

Kuonekana kwa Masihi Aliyefufuka Kupata Ufahamu Thabiti wa Maandiko

Kushika Imani, Sio Dini

Kushughulika na Njia za Zamani

Kusonga Mbele Kwa Kuangalia Nyuma

Kutafsiri Hadithi ya Mungu

Kutafuta kwa Msafiri

Kutambua Wito: Wasifu wa Kiongozi Mkristo Mcha Mungu

Kutoa Utukufu kwa Mungu

Kutoka Kwenye Ujinga Mpaka Ushuhuda Unaoaminika

Kuelewa Uongozi kama Uwakilishi

Kuunda Harakati Madhubuti za Kupanda Makanisa Mijini

Kuwa Mwangalifu kuhusu Picha Unayoakisi

Kuwapa Mafunzo Wajumbe wa Timu ya Kupanda Makanisa Kuwawezesha Watu kwa ajil ya Uhuru, Ustawi na Haki Kuweka katika Muktadha Miongoni mwa Waislamu, Wahindu, na Wabudha:

169 170 200 206 207 208 209 221 230 236 238 242 244 245 247 252 253 254 262 263 265 269 274 275 277 278 279 280 281 282 283 285 289 290 292

Kuziishi Nidhamu

“Lazima Umtumikie Mtu Fulani!”

Maadili ya Agano Jipya

Maandiko kuhusu Ufalme katika Agano Jipya Maandiko kuhusu Ufalme katika Agano la Kale

Maeneo Ambayo Wakristo Wanatofautiana Kuhusiana na Karama za Rohoni

Maisha ya Kristo kulingana na Majira na Miaka

Majina ya Mwenyezi Mungu

Majina, Vyeo, na Sifa za Masihi katika Agano la Kale

Majukumu ya Uongozi wa Uwakilishi Mambo ya Jumla Kuhusu Agano Jipya

Maono na Mbinu za Kitheolojia

Maono ya Kinabii kama Chanzo cha Kuikubali Imani ya Kibiblia Maono ya World Impact: Kuelekea Mkakati wa Kibiblia wa Kuleta Mabadiliko katka Majiji Masihi anayewasiliana:- Uhusiano wa Injili Masihi Yeshua katika Kila Kitabu cha Biblia Masihi Yesu: Utimilifu wa Vivuli vya Agano la Kale Matamko ya Kidhehebu Kuhusiana na “Utakaso” Mateso: Gharama ya Ufuasi na Uongozi wa Kiutumishi Matumizi ya Zana za Marejeo kwa ajili ya Kutafsiri Biblia Mapokeo (Paradosis)

Mbinu ya Hatua Tatu Mbinu ya Mwalimu Mbinu za Kutafsiri Mchoro wa Uanafunzi

Meza ya Bwana: Mitazamo Minne

Mfano wa Utendaji kazi wa Uhakiki wa Kimaandishi

Michoro ya Ukuaji wa Kiroho

Mifano ya Matamko ya Kimadhahebu kuhusu “Ubatizo katika Roho Mtakatifu”

Mifano ya Yesu

Mifumo ya Upandaji Makanisa

Miktadha Minne ya Ukuzaji wa Uongozi wa Kikristo Mjini

Miktadha Mitatu ya Ukuzaji wa Uongozi wa Kikristo Mjini Mitazamo Mitano ya Uhusiano kati ya Kristo na Utamaduni

293 294 295 296 297 298 299 300 302 303 306 307 308 324 328 329 334 335 336 354 356 358 359 360 364 368 372 373 374 376 377 378 379 380 383 384 385

Miujiza ya Yesu

Mkristo Mtiifu katika Utendaji

Mpangilio wa Makabila Kumi na Mbili Kuzunguka Hema

Mpangilio wa Matukio ya Ufalme wa Mungu Mpangilio wa Theolojia ya Ufalme na Kanisa

Mt. Basili, Kanuni ya Imani ya Nikea, na Fundisho la Roho Mtakatifu

Mtazamo na Kweli

Mtazamo wa Kristo Kuhusu Biblia

Mtiririko wa Matukio ya Mwaka wa Kanisa

Muhtasari wa Awamu za Mpango wa Kupanda Kanisa

Muhtasari wa Kitheolojia wa Karama za Kuwakamilisha Watakatifu Zinazopatika katika Waefeso 4:11

Muhtasari wa Maandiko

Muhtasari wa Vielelezo vya Mchakato wa Kupanda hadi Kuzaa Kanisa

Muhtasari wa Tafsiri za Kimasihi katika Agano la Kale Muktadha wa Kijumuiya wa Uongozi Halisi wa Kikristo

Mungu Wetu Asimame! Mungu Wetu Asimame!

Mwaka wa Kanisa (Kanisa la Magharibi) Mwongozo wa Kuunda Mfumo Wako wa Ibada

Mzunguko wa Kalenda ya Kiyahudi

Nadharia za Uvuvio

Nafasi ya Wanawake katika Huduma

Namna ya Kuandika Kazi Yako

Namna ya Kutafsiri Simulizi (Hadithi) Namuona Mola Wangu Kitabuni

Ndani ya Kristo

Neno “Mkristo” Linaposhindikana Kutafsiri Ngazi Tatu za Uwekezaji wa Huduma Nguvu ya Maono ya Kiroho ya Kuaminika

Njia ya Hekima

Nundu

Orodha ya Vipengele vya Masimuli (Hadithi) Orodha ya Kuhakiki Huduma ya Kiroho

Picha na Igizo

Sawa Kuwakilisha:- Kuzidisha wanafunzi wa ufalme wa Mungu

Sosholojia ya Maendeleo ya Uongozi wa Mjini

386 387 391 394 401 403 404 405 406 407 426 427 428 429 430 431 432 433 434 443 457 458 459 460 466 467 469 472 478 479 480 485 486 487 489 492 494

Tahariri

Tamaduni Tofauti za Mwitikio wa Wamarekani Weusi

Tamathali za Semi

Tamko letu la kutegemea:- Uhuru Katika Kristo Tangu Kabla ya Wakati hata Baada ya Wakati Tangu Kabla ya Wakati hata Baada ya Wakati Taswira za Yesu katika Vitabu vya Agano Jipya

Theolojia ya Christus Victor

Theolojia ya Kanisa

Theolojia ya Kanisa katika Mtazamo wa Ufalme

Theolojia ya Ushirikiano ya Paulo Timu ya Kupanda Makanisa Tofauti kati ya Kutawala na Kutumikia

Tofauti ya Ahadi na Utabiri

Tofauti ya Mtazamo wa Kiuchambuzi na Mtazamo Wenye Msingi wa Kristo katika Kusoma Agano la Kale Tuna amini: Tamko la Kanuni ya Imani ya Nikea (8.7.8.7. Mita*) Tuna amini: Tamko la Ukiri wa Imani ya Nikea (Mita ya kawaida)

Ufalme Wako Uje!

Ufalme Wako Uje: “Hadithi ya Utukufu wa Mungu”

Uhuru wa Kweli katika Yesu Kristo

Uhusiano wa Gharama na Ufanisi katika Juhudi za Kufanya Wanafunzi

Ukaimishaji na Mamlaka katika Uongozi wa Kikristo Ukuu wa Mungu na Ufunuo kwa Ulimwengu

Ulinganifu wa Filosofia za Utafsiri Umisheni katika Karne ya 21

Umoja na Kristo: Kielelezo Chenye Msingi wa Kristo Unabii wa Kimasihi Uliotajwa katika Agano Jipya “Unaweza Kunilipa Sasa, Au Unaweza Kunilipa Baadaye”

Upatanifu wa Huduma ya Yesu

Usaomaji kuhusu Kristo

Ushahidi wa Agano la Kale kwa habari ya Kristo na Ufalme wake

Usomaji kuhusu Agano Jipya

Usomaji kuhusu Huduma ya Kichungaji

Usomaji kuhusu Kanisa

Usomaji kuhusu Kuaminika kwa Kihistoria kwa Agano Jipya

Usomaji kuhusu Taipolojia

Usomaji kuhusu Unabii wa Kimasihi

500 502 503 504 505 513 514 515 516 517 520 521 522 523 525 527 531 532 537 538 544 545

Usomaji kuhusu Utumishi

Utamaduni, Sio Rangi: Mwingiliano wa Matabaka, Tamaduni, na Rangi

Utata wa Utofauti: Rangi, Utamaduni, Tabaka

Utatu wa Mungu katika Umoja: Utatu

Utetezi wa Kibiblia wa Ufufuo wa Masihi Yesu

Utume

Uwakilishi

Uwekezaji, Uwezeshaji, na Tathmini

Vifungu Muhimu kuhusu Karama za Kiroho katika Agano Jipya

Vikwazo kwa Utumishi Unaofanana na Kristo

Vipau mbele Mbadala wa Maono Yenye Msingi katika Kristo

Viwango vya Mamlaka Vinavyotolewa kwa Matokeo ya Matumizi ya Agano la Kale katika Msingi wa Kristo

Washiriki wa Timu ya Paulo

Wasifu wa Mwanafunzi wa Karne ya 21

Watu Waliozaliwa Upya

Wei Ji

Wokovu Kama Kujiunga na Watu wa Mungu Yesu Kristo:- Mhusika dhamira ya Biblia

Yesu na Maskini

Yesu wa Nazareti: Uwepo wa wakati ujao

Orodha ya Viambatisho katika Mfumo wa Alfabeti vyenye Marejeo kwa Moduli za Capstone Viambatisho vya Capstone kama Vinavyoonekana katika kila Moduli

551 574

Kielezo cha Mada

/ i x

R e p r e s e n t a n d o l a t e o l o g í a

Utangulizi

Ni vigumu kukanusha thamani ya michoro, alama, vielelezo na chati katika kurahisisha uwasilishaji wa mada ngumu za kitheolojia. Nani hapendi picha na michoro inapotolewa kuelezea masuala magumu ya kimaadili na ya kitheolojia? Kwa njia nyingi, sisi ni viumbe tulioumbiwa uwezo wa kutengeneza taswira, tumezoea ishara na sitiari tunapowasiliana na wengine katika maisha yetu ya kila siku. Ule msemo wa kale, “Picha ina thamani ya maneno elfu moja,” huthibitika kuwa kweli katika mazungumzo ya kila siku na vile vile katika ushairi, sayansi, au kazi nyingine yoyote ya kiakili. Mara nyingi zaidi, mimi hupata ugumu hatimaye kuelewa umuhimu wa wazo hadi nitoe mfano, kuchora, au kuashiria wazo hilo kwa namna moja au nyingine. Michoro na sitiari nzuri ni zana zilizo tayari kuwakilisha na kufupisha dhana na kategoria muhimu za somo lolote au nyanja yoyote ya kitaaluma. Matumizi ya michoro na picha yanaweza kutusaidia sana tunapotafuta kuelewa maana za kina za dhana changamano au ngumu kueleweka au dhana za kiroho. Bila shaka, juhudi zote kama hizo katika kupanga mawazo na dhana kupitia picha na chati zina tabia ya kurahisisha maana na thamani ya kweli inayowasilishwa. Hata hivyo, kuonyesha mawazo magumu kwa njia ya vielelezo na picha ni njia muhimu na yenye manufaa ya kutusaidia kutazama na kuelewa jambo ambalo ni changamano sana na gumu kuelewa. Ingawa mchoro wakati mwingine unaweza kutolewa kama kibadala duni cha maelezo fasaha ya hoja kuhusu wazo au dhana, tamathali za semi, michoro, au alama nzuri, mara nyingi vinaweza kuwa zana ya kutusaidia kupata ufahamu bora zaidi wa fumbo au siri fulani. Manabii na mitume mara nyingi walitumia taswira na mafumbo ili kuwasaidia watu wa Mungu kuelewa namna Mungu alivyolitazama jambo fulani au hali fulani, au kuelewa maana ya fumbo fulani au dhana ambayo Mungu alikuwa akiiwasilisha kwao. Kwa mfano, mitume walitumia lugha za picha za mambo ya kawaida na ya maisha ya kila siku ili kutusaidia kuelewa vizuri zaidi mafumbo ya Mungu. Fikiria mifano inayohusiana na Kanisa: ni familia ya Mungu, mwili wa Kristo, na hekalu la Roho Mtakatifu. Ili kujua kwa ufasaha kanisa ni nini, lazima uzame katika maana ya familia, jinsi mwili unavyofanya kazi, na kile kinachojumuishwa katika kusudi la hekalu. Kwa kweli, bila picha hizo, hutapata kuelewa au kufahamu kikamilifu maana na mantiki halisi ya Kanisa na kile ambacho linapaswa kufanya ulimwenguni. Ninakupa wewe msomaji picha, jedwali na michoro hii kwa unyenyekevu na kwa tahadhari fulani. Vilichorwa ili kuwasaidia wanafunzi wangu kushughulika na maana za kweli na mafumbo mazito ya Biblia. Kutokana na maoni chanya kutoka kwa wanafunzi wangu, naweza kusema kwamba vilithibitika kuwa ya manufaa kwa wengi. Ni maombi yangu kwamba kwa kutolewa huku kwa hiari kwa picha na michoro hii pia itathibitika kuwa ya manufaa katika masomo na tafakuri yako. Nina uhakika kwamba

x /

R e p r e s e n t a n d o l a t e o l o g í a

kujipa muda wa kutafakari michoro iliyomo katika mkusanyiko huu kutaongeza ujasiri wako na nia ya kuhusianisha kweli za Maandiko kwa faida ya kuleta matokeo makubwa zaidi katika maisha yako. Kwa kweli, ikiwa picha ina thamani ya maneno elfu moja, mkusanyiko huu una mengi ya kusema kuhusu ajabu na kina cha kweli za Neno la Mungu.

Mch. Dkt. Don L. Davis Wichita, Kansas

/ 1

R e p r e s e n t a n d o l a t e o l o g í a

Aina Sita za Huduma ya Agano Jipya kwa Jamii Mch. Dkt. Don L. Davis

Aina

Kiyunani

Maandiko

Kazi

Kuhubiri Habari Njema

evangelion

Tangazo

Rum. 1:15-17

Kuwafanya watu kuwa wanafunzi wa Yesu

idasko

Kufundisha

Mt. 28:19

Kuingia katika uwepo wa Mungu

latreuo

Ibada

Yohana 4:20-24

Ushirika wa watakatifu

agape

Ushirika

Rum. 13:8-10

Ushuhuda wenye nguvu kwa waliopotea

martyria

Shahidi

Matendo 1:8

Kujali mahitaji ya wengine

diakonia

Mt. 10:43-45

Huduma

2 /

R e p r e s e n t a n d o l a t e o l o g í a

Alama za Uongozi wa Kikristo

Kiongozi wa Kikristo kama Shemasi (Mtumishi) Kielelezo kimetolewa na Tim Ladwig

/ 3

R e p r e s e n t a n d o l a t e o l o g í a

Alama za Uongozi wa Kikristo (muendelezo)

Kiongozi wa Kikristo kama Mzee Kielelezo kimetolewa na Tim Ladwig

4 /

R e p r e s e n t a n d o l a t e o l o g í a

Alama za Uongozi wa Kikristo (muendelezo)

Kiongozi wa Kikristo kama Mchungaji Kielelezo kimetolewa na Tim Ladwig

/ 5

R e p r e s e n t a n d o l a t e o l o g í a

Alama za Uongozi wa Kikristo (muendelezo)

Kiongozi wa Kikristo kama Askofu Kielelezo kimetolewa na Tim Ladwig

6 /

R e p r e s e n t a n d o l a t e o l o g í a

Baadhi ya Njia Ambazo Wakristo Hawakubaliani kuhusu Utakaso Mch. Terry G. Cornett

I. Maswali Mawili ya Msingi

A. Swali la kwanza: Je, mtu anaweza kutakaswa na kutengwa (kabisa kutoka kwenye dhambi), katika maisha haya ya sasa?

1. Makanisa ya Reformed /Kibaptisti na baadhi ya theolojia za Kipentekoste wanasema HAPANA.

2. Makanisa ya Holiness na baadhi ya theolojia za Kipentekoste wanasema NDIO.

B. Swali la Pili: Je, utakaso ni tukio la pili na la tofauti kutoka kwa Mungu, linalopokelewa kwa neema kwa njia ya imani? Unachoamini kuhusu swali la kwanza, kwa kawaida kinaathiri kile unachoamini kuhusu swali la pili.

1. Ikiwa unaamini kwamba utakatifu kamili hauwezi kutokea hadi siku ya kufa au kurudi kwa Kristo, maana yake una Imani ya kukua katika utakatifu lakini huamini kwamba kuna hatua tofauti katika maisha haya ambapo unaweza kufikiwa ukamilifu wa utakatifu.

2. Ikiwa unaamini kwamba utakatifu kamili unaweza kufikiwa, unajua lazima uje kupitia tukio au tendo la kubadilishwa (huwezi kuufikia kwa juhudu na bidii yako mwenyewe). Kwa hivyo wale wa Makanisa ya Holiness na Pentecostal-Holiness wanasema lazima kuna tukio la pili la kitofauti katika mchakato huu.

/ 7

R e p r e s e n t a n d o l a t e o l o g í a

Baadhi ya Njia Ambazo Wakristo Hawakubaliani kuhusu Utakaso (muendelezo)

II. Mafundisho Kulingana na Mapokeo ya Reformed

A. Utakaso unaanza wakati wa wokovu na unaendelea hatua kwa hatua mpaka siku ya kutukuzwa. Mungu hututakasa kikamilifu kwa namna ya kututenga na kutuingiza moja kwa moja kwenye ufalme wake wakati wa wokovu, lakini utakaso wa sisi kuwa mbali na dhambi unafanywa kutokana na tunavyoenenda hatua kwa hatua na kila siku.

B. Dhambi kimsingi inafafanuliwa kama “kupungukiwa na utukufu wa Mungu.”

C. Hoja zinazounga mkono:

1. Yesu alitufundisha wanafunzi wake kusali kila siku, “Utusamehe makosa yetu” (Mt. 6:12) na kuongeza “Lakini msipowasamehe wengine makosa yao, wala Baba yenu hatawasamehe ninyi makosa yenu” (Mt. 6:15).

2. Kanisa la Korintho lilitambulishwa na Paulo kama “lililotakaswa na Kristo Yesu na kuitwa kuwa takatifu” lakini kiuhalisia wa maisha yao hali ilikuwa tofauti kabisa. Paulo alisema katika 1 Wakorintho 3:3, “kwa maana hata sasa ninyi ni watu wa tabia ya mwilini. Maana, ikiwa kwenu kuna husuda na fitina, je! Si watu wa tabia ya mwilini ninyi; tena mnaenenda kwa jinsi ya kibinadamu?” Paulo alielewa tofauti kati ya kutakaswa machoni pa Mungu lakini kuwa bado katika mchakato wa utakaso kimatendo.

a. Uzoefu unatufundisha kwamba: (1) Tunatenda dhambi.

(2) Watu wanaojidai kuwa wakamilifu huwa na tabia ya kushika sheria fulani, kulaani, kujisifu, na huwa na mwelekeo wa kukana dhambi inapotokea.

8 /

R e p r e s e n t a n d o l a t e o l o g í a

Baadhi ya Njia Ambazo Wakristo Hawakubaliani kuhusu Utakaso (muendelezo)

b. Warumi 7 – Kifungu hiki kinaeleweka kama kinachoelezea uzoefu wa Paulo baada ya kuoka.

c. Ukamilifu kamili usio na dhambi haupatikani katika maisha haya. Neno “Kamili” linapotokea katika Maandiko linamaanisha “timilifu” au “~a kukomaa.” Kutukuzwa ni kiwango cha kutokuwa na dhambi kabisa . Utakaso ni mwendo na safari ya kuelekea utakatifu unaotumia nyenzo zinazotolewa wakati wa wokovu. d. Mtetezi muhimu zaidi wa kihistoria: Martin Luther Luther alizungumza kuhusu Wakristo kama “simul justus et peccator” – Mtu mwenye haki ambaye pia ni mwenye dhambi. Aliamini kwamba kitendawili hiki hakitapata suluhu hadi imani iwe dhahiri kwa kuonekana. Ulutheri hautetei dhambi hata kidogo. Badala yake unatambua “kwamba dhambi ilipozidi, neema ilizidi zaidi.” A. Utakaso ni tendo la pili ambalo ni tofauti na wokovu. Lakini ni kama tu wokovu kwa namna unavyopokelewa, utakaso huu pia unapokelewa kwa neema kwa njia ya imani na mara nyingi unaelezewa kama “Ubatizo katika Roho Mtakatifu.” Utakaso kamili ambao unajulikana zaidi kama “utakaso,” “utakatifu,” “ukamilifu wa Kikristo,” au “upendo mkamilifu,” unawakilisha ile hatua ya pili ya uhakika katika maisha wa Kikristo ambapo, kwa ubatizo wa Roho Mtakatifu unaotolewa na Yesu Kristo na kupokelewa papo hapo kwa imani, mwamini aliyehesabiwa haki anakombolewa kutoka katika dhambi ya asili, na kwa sababu hiyo huokolewa kutokana na hasira zote zisizo njema, husafishwa kutokana na unajisi wote wa kimaadili, hukamilishwa katika upendo na kuingizwa katika ushirika kamili na wa kudumu na Mungu. ~ Azimio la Mkutano Mkuu wa Kwanza wa Kanisa la Holiness

III. Harakati za Makanisa ya Holiness

Kuhusu Fundisho, uliofanyika Chicago, Mei, 1885 [Robert M. Anderson, Vision of the Disinherited ]

/ 9

R e p r e s e n t a n d o l a t e o l o g í a

Baadhi ya Njia Ambazo Wakristo Hawakubaliani kuhusu Utakaso (muendelezo)

B. Dhambi kimsingi inafafanuliwa kama “Kukosa utii kwa kujua na kwa makusudi.”

1. Dhana ya Ukamilifu wa Kikristo [utakaso kamili] imefafanuliwa kwa umakini namna hii. Ukamilifu sio: maarifa kamili (ujinga unabaki), sio uhuru kutokana na makosa, sio huru kutokana udhaifu au kasoro za kitabia, sio huru kutokana na majaribu, sio huru kutokana na hitaji la kukua, [Mtazame John Wesley, katika kitabu chake kuhusu Ukamilifu wa Kikristo, On Christian Perfection]. Siyo, kupoteza uwezo wa kutenda dhambi. Hakuna hatua ambapo, kabla ya Kutukuzwa, watu walikosa kuanguka. Ukamilifu ni: Kutembea katika upendo kwa imani ili mtu asitende dhambi kwa makusudi na kimazoea. 2. Bado kuna mchakato wa utakaso unaofuata baada ya tukio la utakaso. Ninaamini ukamilifu huu daima unafanyika ndani ya roho kwa tendo rahisi la imani; tukio la papo hapo. Lakini ninaamini pia [katika] kazi ya endelevu, iliyotangulia na kufuatia tukio hilo. Kwa habari ya tukio husika, naamini tukio hili kwa ujumla ni tukio la kifo, muda kabla ya roho kuondoka katika mwili. Lakini naamini linaweza kuwa miaka kumi, ishirini, au arobaini kabla. Na ninaamini kawaida ni miaka mingi baada ya kuhesabiwa haki. ~ Mawazo kadhaa kwa ufupi kuhusu Ukamilifu wa Kikristo. The Works of John Wesley. Vol. 11, uk. 466. Baadhi ya makundi ya Holiness hayakubaliani na Wesley kuhusiana na upangiliaji wa muda kama alivyoonyesha yeye. Wanaamini utakaso kamili unaweza, na unapaswa, kuja haraka zaidi.

1 0 /

R e p r e s e n t a n d o l a t e o l o g í a

Baadhi ya Njia Ambazo Wakristo Hawakubaliani kuhusu Utakaso (muendelezo)

C. Hoja zinazokubaliana na msimamo huu:

1. Utakatifu Kamili umeamrishwa na Yesu na Mitume Mt. 5:48 “Basi ninyi iweni wakamilifu, kama Baba yenu wa mbinguni alivyo mkamilifu.” Linganisha na agizo la Mtume (1 Yohana 5:3 - Kwa maana huku ndiko kumpenda Mungu: kwamba tuzishike amri zake. Wala amri zake si nzito).

2. Ni maana ya kimantiki ya kile kinachotokea wakati Mungu mwenye uweza wote anapomweka Roho wake kufanya kazi dhidi ya dhambi katika maisha yetu.

3. Maandiko yanaonekana kumaanisha mara kwa mara kwamba hicho ndicho kinachotokea katika maisha ya mwamini.

4. Warumi 7 – Kifungu hiki kinaaminika kuwa kinaelezea uzoefu wa Paulo kabla ya kuokoka.

D. Mtetezi muhimu zaidi wa kihistoria: John Wesley (aliyejifunza kutoka kwa mwandishi wa kipuritani, William Law)

E. Chanzo Muhimu: Kitabu cha “A plain Account of Christian Perfection.” Hoja kuu ya Wesley ilikuwa ni kuepuka kukana uwezekano wa ukamilifu kwa sababu alihisi kuwa inapinga asili na nguvu za Mungu. (Usiseme kwamba Mungu hawezi au hatafanya kile ambacho ni dhahiri anataka kufanya). Ni suala la imani kwa Wesley. Hata kama hajawahi kuona hili likitokea bado angeamini katika uwezo wa Mungu wa kutimiza shauku yake ya utakatifu wetu.

/ 1 1

R e p r e s e n t a n d o l a t e o l o g í a

Baadhi ya Njia Ambazo Wakristo Hawakubaliani kuhusu Utakaso (muendelezo)

IV. Kuweka vyote Pamoja: Msingi wa Pamoja wa Kitheolojia na Maana zake Muhimu Yale ambayo Wakristo wa Makanisa ya Reformed na Holiness wanakubaliana kwa pamoja: A. Utakaso ni kuwa kama Kristo na ndio lengo la maisha ya Kikristo. [Maandiko yanatufundisha kwamba [utakatifu] huu ndilo lengo la wito wetu – John Calvin, katika kitabu chake cha “Institutes of the Christian Religion ].

B. Utakaso huanza wakati wa wokovu na sharti pekee linalohitajika ni imani. Tazama (Nyaraka za Fundisho za Mitaguso ya Wamethodisti za mwaka 1744 47).

C. Utakaso huja kwa kuasilishwa na kuingizwa ndani ya mtu na huja kwa neema ya Mungu tu.

D. Utakaso unahusisha hatua ya kipekee ya uamuzi 1 na mchakato unaoendelea wa kuishi kutokana na uamuzi huo.

1 Kwa Theolojia ya Makanisa ya Reformed hatua hii ni kuupokea wokovu, kwa Theolojia ya Makanisa ya Holiness hii ni kuupokea wokovu na tukio la pili la neema la Roho Mtakatifu.

1 2 /

R e p r e s e n t a n d o l a t e o l o g í a

Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu wana Sifa na Kazi za Kiungu Zinazofanana Maandiko Yanayounga Mkono Hilo Imechukuliwa kutoka kwa Edward Henry Bickersteth, The Trinity . Grand Rapids: Kregel Publications, 1957. Rpt. 1980.

Mungu Mwana

Mungu Roho Mtakatifu

Sifa ya Mungu

Mungu Baba

Isa. 44:6; Rum. 16:26

Yohana 8:58; Ufu. 1:17-18

Mungu ni wa milele (Kum. 33:27)

Ebr. 9:14

Mwa. 1:2; Zab. 33:6; 104:30; Ayu 33:4; Yoh. 7:38-39; Rum. 8:11

Mungu Aliumba Vitu Vyote (Ufu. 4:11) na Ndiye Chanzo cha Uhai (Kum. 30:20)

Zab. 36:9; 100:3; 1 Kor. 8:6

Yohana 1:3, 4; Kol. 1:16

Isa. 46:9-10; Mt. 11:27; Ebr. 4:13

Isa. 40:13-14; 1 Kor. 2:10; Yohana 16:15

Mungu Haeleweki Kibinadamu (1 Tim. 6:16) na Anajua Yote (Yer. 16:17)

Mt. 11:27; Yohana 21:17

Mt. 18:20; 28:20

Mungu yupo Kila Mahali (Yer. 23:24)

Mdo 17:27-28

Zab. 139:7-10

Zak. 4:6; Rum. 15:19; 1 Kor. 12:11

Mungu ni Mwenye Nguvu Zote (2 Nya. 20:6) na Mwenye Enzi, Hutenda Jinsi Apendavyo (Ayu. 42:2)

Luka 1:37; Efe. 1:11

Yohana 14:14; Mt. 11:27

Zab. 34:8; Yohana 7:28; 17:11, 25

Yohana 14:6; 10:11; Mdo 3:14

1 Yohana 5:6; Yohana 14:26; Zab. 143:10

Mungu ni wa Kweli, Mtakatifu, Mwenye Haki, na Mwema (Zab. 119)

Mungu ndiye Chanzo cha Nguvu kwa Watu Wake (Kut. 15:2)

Zab. 18:32

Fil. 4:13

Efe. 3:16

Ni Mungu Peke Yake Anayesamehe na Kutusafisha Dhambi Zetu (Zab. 51:7; 130:3-4)

1 Kor. 6:11; Ebr. 9:14

Kut. 34:6-7

Marko 2:7-11

/ 1 3

R e p r e s e n t a n d o l a t e o l o g í a

The Father, Son, and Holy Ghost Share the Same Divine Attributes and Works (muendelezo)

Mungu Mwana

Mungu Roho Mtakatifu

Sifa ya Mungu

Mungu Baba

Mungu Aliwapa Wanadamu Sheria ya Kiungu Ambayo Ilifunua Tabia na Mapenzi Yake. (2 Tim. 3:16)

Eze. 2:4; Isa. 40:8; Kum. 9:10

Mt. 24:35; Yohana 5:39; Ebr. 1:1-2

2 Sam. 23:2; 2 Pet. 1:21; Rum. 8:2

Yohana 14:17; 1 Kor. 6:19; Efe. 2:22

Mungu anakaa ndani na katikati ya watu wanaomwamini (Isa. 57:15).

2 Kor. 6:16; 1 Kor. 14:25

Efe. 3:17; Mt. 18:20

Isa. 42:8; Zab. 47:2; 1 Tim. 6:15; Mt. 4:10; Ufu. 22:8-9

Mt. 12:31; Luka 1:35; 2 Kor. 3:18; 1 Pet. 4:14; Yoh. 4:24

Mungu Ndiye Aliye Juu, Aliye Juu zaidi ambaye hana wa kulingana naye, anatawala kama Bwana na Mfalme juu ya viumbe vyote, na ambaye pekee ndiye anayepastahili kuabudiwa na kutukuzwa.

Yohana 20:28 29; Ufu. 17:14; Ebr. 1:3, 6-8

1 4 /

R e p r e s e n t a n d o l a t e o l o g í a

Baraka Thelathini na Tatu Katika Kristo Mch. Dkt. Don L. Davis

Je, ulijua kuwa vitu thelathini na vitatu vilitokea kwako wakati ulipokuwa muumini katika Yesu Kristo? Lewis Sperry Chafer, Rais wa kwanza wa Seminari ya Kithiologia ya Dallas, aliorodhesha manufaa haya ya wokovu katika, Theology, volume 3 (pp. 234-266). Hoja hizi, pamoja na maelezo mafupi, yanampa Mkristo aliyezaliwa upya uelewa bora juu ya kazi ya neema iliyotimizwa katika maisha yake pamoja na shukrani ya maisha yake mapya. 1. Katika mpango wa milele wa Mungu mwumini ni a. Alimjua tangu asili – Matendo 2.23; 1Pet. 1.2, 20. Mungu alimjua tangu milele yote kila hatua katika utaratibu wote wa ulimwengu. b. Aliwachagua tangu asili – Rum 8.29-30. Majaliwa ya mwumini yaliwekwa kwa kumjua tangu asili kwa utambuzi usio na mwisho wa utajiri wa neema ya Mungu. c. Aliteuliwa – Rum 8:38; Kol 3:12. Yeye ni mteule wa Mungu kwa wakati huu na atadhihirishwa wazi neema ya Mungu kwa wakati unaokuja. d. Kachaguliwa – Efe. 1.4. Mungu amewatenga kwake mwenyewe wateule wake ambao kwanza aliwajua tangu asili na kisha akawachagua. e. Kaitwa – 1 The. 5.24. Mungu anamwalika mtu kufurahia mafao ya makusudi ya kukombolewa kwake, sharti hili linaweza kuwaingiza wale ambao Mungu amewateua kwa ajili ya wokovu, ambao bado wamo katika hali ya kutozaliwa upya. 2. Waumini wamekombolewa – Rum 3.24. Bei iliyo hitajika kwa kumweka huru kutoka katika dhambi imekwisha lipwa. 3. Muumini amekwisha patanishwa – 2 Kor. 6.18; Rum. 5.10. Kwanza amekwisha kurejeshwa na Mungu kwenye ushirika kisha karejeshwa kuwa na ushirika na Mungu. 4. M wumini anahusiana na Mungu kwa njia ya upatanisho – Rum. 3.24-26. Amewekwa huru kutoka kwenye hukumu kwa ridhaa ya Mungu kwa kifo cha mwanae kwa ajili ya wenye dhambi. 5. Mwumini amesamehewa makosa yote – Efe. 1.7. Dhambi zake zote zinashughulikiwa –zilizopita, za sasa, na zijazo. 6. M uumini kwa ulazima wa uzima ameungwa kwa Kristo kwa hukumu ya mtu wa kale na kuwa katika “mwenendo mpya” - Warumi 6:1-10. Mwamini ameingizwa katika mwungano na Kristo.

/ 1 5

R e p r e s e n t a n d o l a t e o l o g í a

Baraka Thelathini na Tatu Katika Kristo (muendelezo)

7. M wumini ni huru “kutoka sheria” - Rum 7.2-6. Ameifia hukumu yake na kufunguliwa kutoka katika mamlaka yake ya kisheria. 8. Mwumini amefanyika mtoto wa Mungu - Gal 3.26. Amezaliwa upya kwa uwezo wa Roho Mtakatifu wa kumleta kwa upya katika uhusiano ambao Mungu nafsi ya kwanza anakuwa Baba halali na, aliyeokolewa anafanyika kuwa mototo halali kwa kila haki na cheo –mrithi wa Mungu na mrithi pamoja na Yesu Kristo. 9. M wumini amefanyika mototo wa kulelewa akiwa mtu mzima nyumbani mwa Baba yake – Rum.8.15, 23 10. M wumini amefanywa na Yesu Kristo akubalike na Mungu na Yesu Kristo – Efe. 1.6. Amehesabiwa haki (Rum.3.22), ametakaswa (ametengwa) nafsi (1Kor.1.30, 6.11); amekamilishwa hata milele katika msimamo na nafsi yake (Ebr 10.14), na kufanywa kukubalika katika mwanae mpendwa (Kol 1.12) 11. Mwumini amehesabiwa haki – Rum.5.1. Ametangaziwa kuwa mwenye haki kwa amri ya Mungu. 12. M wumini anafanywa mwenye haki – Efe.2.13. Uhusiano wa karibu unaanzishwa na unakuwapo kati ya Mungu na mwumini Uhusiano wa karibu umewekwa na ipo kati ya Mungu na muumini. 13. Mwumini amefunguliwa kutoka katika nguvu za giza – Kol.1.13; 2.13. Mkristo amefunguliwa kutoka kwa shetani na roho zake chafu. Hata hivyo mwanafunzi anatakiwa kupigana vita dhidi ya nguvu hizi. 14. Mwumini amehamishiwa katika ufalme wa Mungu - Kol 1:13. Mkristo amehamishwa kutoka katika ufaalme wa giza kwenda ufalme wa Kristo. 15. Mwumini amepandwa katika mwamba, Yesu Kristo - 1Wakor 3:9-15 Kristo ni msingi ambao mwumini anasimama na ambapo anajenga maisha yake ya Kristo. 16. Mwumini ni zawadi kutokakwaMungukwendakwaKristo -Yoh.17:6,11,12,20. Yeye ni zawadi ya upendo wa Baba kwa Yesu Kristo. 17. Mwumini ametahiriwa katika Kristo - Wakol. 2:11. Ameokolewa kutoka nguvu za asili ya dhambi ya kale. 18. Mwumini amefanywa kuwa mshiriki wa ukuhani mtakatifu na ukuhani wa Kifalme - 1Pet2:5,9 Yeye ni kuhani kwasababu ya uhusiano wake kwa Kristo, kuhani mkuu, na atatawala duniani na Kristo. 19. M wumini ni sehemu ya kizazi kiteule, taifa takatifu watu wa ajabu -1Pet.2:9 Hili ni jeshi la waumini katika zamani hizi.

1 6 /

R e p r e s e n t a n d o l a t e o l o g í a

Baraka Thelathini na Tatu Katika Kristo (muendelezo)

20. Mwumini ni raia wa mbinguni – Flp 3.20. Kwa hiyo anaitwa mgeni kama yalivyo maisha yake hapa duniani (1Pet.2:13) na atafurahia maisha yake ya nyumbani ya kweli huko mbinguni milele. 21. Mwumini yuko katika familia ya Mungu na nyumbani mwake. – Efe. 2.1, 9. Yeye ni sehemu ya “Familia” ya Mungu ambayo inaundwa pekee na waumini wa kweli. 22. Mwumini yumo katika ushirika wa watakatifu – Yohana 17.11, 21-23. Yeye anaweza kuwa sehemu ya ushirika wa waumini moja kwa mwingine. 23. M wumini yumo katika Ushirika wa mbinguni – Kol. 1.27; 3.1; 2 Kor 6.1; Kol. 1.24; Yohana 14.12-14; Efe. 5.25-27; Tit 2.13. Yeye ni mshirika na Kristo sasa katika maisha, mahali, huduma, mateso sala, uposo kama bibi arusi wa Kristo na matarajio ya kuja tena kwa Kristo. 24. Mwumini ana nafasi ya kumfikia Mungu – Efe 2.18. Yeye ana njia ya kupata neema ya Mungu ambayo inamwezesha kukua kiroho na hana kizuizi cha kumkaribia Baba (Waeb.4:16) 25. Mwumini yuko katika uangalizi sana wa Mungu – Rum. 5.8-10. Yeye ni mlengwa wa pendo la Mungu (Yoh.3:16) neema ya Mungu (Waef.2:7,9), nguvu za Mungu (Waef 1:19), uaminifu wa Mungu (Wafil.1:6), Amani ya Mungu (Warumi 5:10 faraja ya Mungu (2 Wathes.2:16-17), na maombezi ya Mungu (Warumi 8:26). 26. Mwumini ni urithi wa Mungu – Efe 1.18 yeye ametolewa kwa Kristo kama zawadi kutoka kwa mungu 27. Mwumini anao urithi wa Mungu mwenyewe uliotunzwa - 1Petro 1:4 28. Mwumini ana nuru katika Bwana – 2 Kor. 4.6 si kwamba tu anayo. Hii nuru, bali ameagizwa kutembea nuruni 29. M wumini kwa umuhimu ameungana na Baba na mwana na Roho Mtakatifu – 1The 1.1; Efe 4.6; Rum 8.1; Yohana 14.20; Rum.8.9; 1Kor. 2.12. 30. M wumini amebarikiwa na matunda ya kwanza ya Roho – Efe. 1.14; 8.23. Amezaliwa kwa Roho (Yoh.3:6) na kubatizwa kwa Roho (1Wakor.12:13) ambayo ni kazi ya Roho Mtakatifu ambayo kwayo mwumini huunganishwa kwa mwili w kristo na anakuja kuwa “ndani ya Kristo” na kwa hiyo anakuwa mshirika wa yote Kristo alivyo. Mwanafunzi pia anakuwa na Roho Matakatifu anaye kaa ndani yake (Warumi 8:9), ametiwa muhuri na Roho (2Kor.1:22) na kumfanya kuwa salama milele, na amejazwa na Roho (Waefeso 5:18) ambaye huduma yake ni kuachilia nguvu zake zinazofaa katika moyo anamokaa.

/ 1 7

R e p r e s e n t a n d o l a t e o l o g í a

Baraka Thelathini na Tatu Katika Kristo (muendelezo)

31. Mwumini anatukuzwa – Rum. 8.18. Atakuwa mshiriki wa hadithi isiyokoma ya Mungu. 32. Mwumini ni kamili katika Mungu – Kol 2.9,10 anashiriki yote ambayo Kristo alivyo. 33. Mwumini ana kila Baraka za kiroho – Efe 1.3. Utajiri wote ulioorodheshwa katika dondoo 32 kabla ya hii zinapaswa kujumlishwa katika neno la jumla “Baraka zote za kiroho”.

1 8 /

R e p r e s e n t a n d o l a t e o l o g í a

Bibliografia ya Hamenetiki ya Biblia

Archer, Gleason L. Encyclopedia of Bible Difficulties . Grand Rapids: Zondervan, 1982. Black, David Alan. L inguistics for Students of New Testament Greek: A Survey of Basic Concepts and Applications . Grand Rapids: Baker, 1988. ------. Using New Testament Greek in Ministry: A Practical Guide for Students and Pastors . Grand Rapids: Baker Books, 1993. Blomberg, Craig L. Interpreting the Parables . Leicester: Apollos, 1990. Bowman, Robert M., Jr. Understanding Jehovah’s Witnesses: Why They Read the Bible the Way They Do . Grand Rapids: Baker, 1991. Bray, Gerald. Biblical Interpretation Past and Present . Downers Grove/Leicester: IVP, 2000. Bullinger, E. W. Figures of Speech Used in the Bible . Grand Rapids: Baker Book House, 1968. Caird, G. B. Language and Biblical Imagery . Gerald Duckworth & Co. Ltd, 1981. Carson, D. A. Exegetical Fallacies . 2nd ed. Grand Rapids/Carlisle: Baker Books/ Paternoster Press, 1996. Carson, D. A. and John D. Woodbridge, Eds. Hermeneutics, Authority and Canon . Leicester: IVP, 1986. ------. Scripture and Truth . Leicester: IVP, 1983. Castelli, Elizabeth A. et al, eds. The Postmodern Bible . Yale University Press, 1997. Coggins, R. J. and J. L. Houlden, eds. A Dictionary of Biblical Interpretation . London: SCM Press Ltd., 1990. Cotterall, Peter, and Max Turner. Linguistics and Biblical Interpretation . Downers Grove: Intervarsity Press, 1989. Erickson, Millard J. Evangelical Interpretation: Perspectives on Hermeneutical Issues . Grand Rapids: Baker Books, 1993. Evans, Craig A. Noncanonical Writings and New Testament Interpretation . Peabody, MA: Hendrickson Publishers, 1992. Fee, Gordon D. New Testament Exegesis: A Handbook for Students and Pastors . Philadelphia: Westminster Press, 1983.

/ 1 9

R e p r e s e n t a n d o l a t e o l o g í a

Bibliografia ya Hamenetiki ya Biblia (muendelezo)

Fee, Gordon D. And Douglas Stewart. How to Read the Bible for All its Worth: A Guide to Understanding the Bible . 2nd ed. Grand Rapids: Zondervan, 1993. Goldingay, John. Approaches to Old Testament Interpretation . Updated ed. Leicester: Apollos, 1990. Greidanus, Sidney. The Modern Preacher and the Ancient Text: Interpreting and Preaching Biblical Literature . Grand Rapids: Eerdmans, 1988. Hendrickson, Walter. A Layman’s Guide to Interpreting the Bible . Grand Rapids: Zondervan, 1978. Johnson, Elliott E. Expository Hermeneutics: An Introduction . Grand Rapids: Zondervan, 1990. Kaiser, Walter C., Jr. Toward an Exegetical Theology: Biblical Exegesis for Preaching and Teaching . Grand Rapids: Baker, 1981. Kaiser, Walter C., Jr. Peter H. Davids, F. F. Bruce, and Manfred T. Brauch. Hard Sayings of the Bible . Downers Grove: Intervarsity Press, 1996. Kaiser, Walter C., Jr. and Moises Silva. An Introduction to Biblical Hermeneutics: The Search For Meaning . Grand Rapids: Zondervan, 1994. Klein, William W., Craig L. Blomberg, and Robert L. Hubbard. Introduction to Biblical Interpretation . Dallas: Word Publishing, 1993. Kurht, Wilfred. Interpreting The Bible: A Handbook of Biblical Interpretation . Welwyn: Evangelical Press, 1983. Long, V. Philips. The Art of Biblical Interpretation. Foundations of Contemporary Interpretation . Vol. 5. Leicester: Intervarsity Press, 1994. Longman, Tremper, III. How to Read the Psalms . Downers Grove: Intervaristy Press, 1988. ------. Literary Approaches to Biblical Interpretation. Foundations of Contemporary Interpretation . Vol. 3. Leicester: Intervarsity Press, 1987. ------. Reading the Bible with Heart and Mind . Navpress Publishing Group, 1996. Longenecker, Richard N. Biblical Exegesis in the Apostolic Period . Carlisle: Paternoster Press, 1995. Lundin, Roger. Disciplining Hermeneutics: Interpretation in Christian Perspective . Grand Rapids: Eerdmans, 1997.

Made with FlippingBook Digital Publishing Software