Theolojia Katika Picha

/ 1 1 3

R e p r e s e n t a n d o l a t e o l o g í a

Kiwango cha Upokeaji

Kipimgo cha Marekebisho ya Kijamii cha Holmes-Rahe

Kipimo cha Marekebisho ya Kijamii cha Holmes-Rahe huonyesha matukio tofauti, kwa mpangilio wa umuhimu wake, ambayo yana athari katika kusababisha vipindi vya mabadiliko binafsi au ya familia. Nambari zilizo upande wa kulia zinaonyesha umuhimu wa tukio moja katika uhusiano na matukio mengine yanayosababisha kuwepo kwa vipindi vya mpito na mabadiliko katika maisha. Matukio mbalimbali yanaweza kubebana pale mtu anapopitia zaidi ya tukio moja kwa muda mfupi. Kadiri nambari zinavyokuwa juu, ndivyo kiwango cha upokeaji wa mtu kwa habari ya Injili kinavyokuwa kikubwa. Kwa mfano, mtu ambaye alikuwa ameoa tu na pia ana shida na bosi wake atakuwa msikivu zaidi kuliko ikiwa tukio lolote kati ya hayo mawili lingetokea katika kipindi tofauti na si kwa pamoja. Kadhalika, kadri nambari au mkusanyiko wa nambari unavyokuwa mkubwa ndivyo pia kipindi cha mpito kitakavyokuwa kirefu na kigumu zaidi. ~ Win Arn and Charles Arn. The Master’s Plan for Making Disciples. 2nd ed. Grand Rapids: Baker Books, 1998. uk. 88-89

Kifo cha mwenzi.......................................... 100 Talaka. .......................................................... 73 Kutengana kwa Wana-ndoa. ......................... 65 Kifungo jela................................................... 63 Kifo cha Mwanafamilia wa Karibu ................. 63 Jeraha au Ugonjwa........................................ 53 Ndoa ............................................................ 50 Kufukuzwa kazi ............................................ 47 Upatanisho wa Ndoa .................................... 45 Kustaafu ....................................................... 45 Mabadiliko katika Afya ya Mwanafamilia . ..... 44 Mimba ......................................................... 40 Matatizo ya ngono ....................................... 39 Kuongezeka kwa Familia ............................... 39 Mabadiliko katika Biashara ............................ 39 Mabadiliko ya Hali ya Kifedha ....................... 38 Kifo cha Rafiki wa Karibu .............................. 37 Mabadiliko ya Idadi ya migogoro ya Ndoa. .... 35 Rehani au Mkopo wa zaidi ya $75,000 ......... 31 Kufilisiwa kwa Rehani au Mkopo ................... 30 Mabadiliko ya Majukumu ya Kazi .................. 29 Mwana au Binti Kuondoka Nyumbani ........... 29 Matatizo na Wakwe . .................................... 29 Kiwango Bora cha Mafanikio Binafsi. ............. 28 Mwenzi Kuanza Kazi ..................................... 26 Kuanza au Kumaliza Shule ............................ 26 Mabadiliko ya Hali ya Maisha ........................ 25 Marekebisho ya Tabia Binafsi ........................ 24 Shida na Bosi ................................................ 23 Mabadiliko ya Muda au Mazingira ya Kazi. .... 20 Mabadiliko ya Makazi ................................... 20 Mabadiliko katika Shule ................................ 20 Mabadiliko ya Tabia za Burudani ................... 19 Mabadiliko katika Shughuli za Kijamii . .......... 18 Rehani au Mkopo wa chini ya $75,000 ......... 18 Msimu wa Pasaka ......................................... 17 Mabadiliko ya Tabia za Kulala ....................... 16 Mabadiliko ya Idadi ya Mikutano ya Familia . . 15 Likizo ............................................................ 13 Msimu wa Krismasi ....................................... 12 Ukiukaji Mdogo wa Sheria ............................ 11

Made with FlippingBook Digital Publishing Software