Theolojia Katika Picha

1 3 4 /

R e p r e s e n t a n d o l a t e o l o g í a

Kukuza Uongozi Halisi wa Kikristo Mch. Dkt. Don L. Davis

Mwamba Upande Mmoja

Mwamba Upande Mwingine

Daima kuahirisha kukasimisha madaraka kwa wazawa

Kuharakisha kuwekea mikono

Kupuuza utamaduni katika mafunzo ya uongozi

Kuinua utamaduni juu ya Kweli

Kushusha thamani ya fundisho na theolojia

kuchukulia fundisho na theolojia kuwa vigezo pekee

Kuzingatia ujuzi na vipawa zaidi ya upatikanaji na tabia

Kuchukulia upatikanaji na tabia kama mbadala wa vipawa vya kweli

Kusisitiza uwezo wa kiutawala kuliko nguvu za kiroho

Kupuuza jukumu la utawala na kusisitiza zaidi uhai na nguvu za kiroho

Kulinganisha utayari na ukamilifu wa Kikristo

Kupuuza umuhimu wa viwango vya kibiblia

Kuweka vigezo vya kushika nafasi ya uongozi kwa kuzingatia jinsia na kabila

Kuweka nafasi za uongozi kwa kuzingatia jinsia na kabila

Kuona hakuna mtu anayestahili kuongoza

Kuona kila mtu kama kiongozi

Made with FlippingBook Digital Publishing Software