Theolojia Katika Picha
/ 3 0 1
R e p r e s e n t a n d o l a t e o l o g í a
Mt. Basili, Kanuni ya Imani ya Nikea, na Fundisho la Roho Mtakatifu (muendelezo)
Toleo hili lililorekebishwa la Kuni ya Imani asili ya Nikea (kitaalam Kanuni ya Imani ya Nikea-Konstantinopoli) kwa kawaida inajulikana kama “Kanuni ya Imani ya Nikea” kwa kuwa ndilo toleo la mwisho la tamko liliyoanzishwa huko Nikea. Kanuni hii inakubaliwa na Wakatoliki, Waorthodoksi 2 , na Wakristo wa Kiprotestanti kama muhtasari wa mafundisho ya kimaandiko ambayo yanaitenganisha Kweli na uzushi.
2 Ingawa Waorthodoksi hawajumuishi kishazi “na Mwana” (ambacho kiliongezwa baadaye) katika tamko kuhusu Roho anayotoka kwa Baba.
Made with FlippingBook Digital Publishing Software