Theolojia Katika Picha
/ 5 1 3
R e p r e s e n t a n d o l a t e o l o g í a
Utetezi wa Kibiblia wa Ufufuo wa Masihi Yesu Mch. Dkt. Don L. Davis
Sababu za Kufufuka Kwake
Andiko la Biblia
1 Ili kutimiza unabii wa Maandiko Matakatifu Zab. 16:9-10; 22:22; 118:22-24
2
Ili kuonyesha utambulisho wake halisi
Matendo 2:24; Rum. 1:1-4
2 Sam. 7:12-16; Zab. 89:20-37; Isa. 9:6-7; Luka 1:31-33; Mdo 2:25-31
3
Ili kutimiza ahadi ya Agano la Daudi
Kuwa chanzo cha uzima wa milele kwa wote wanaomwamini
Yoh 10:10-11; 11:25-26; Efe. 2:6; Kol. 3:1-4; 1 Yoh. 5:11-12
4
Kuwa chanzo cha nguvu za ufufuo kwa wengine
5
Mt. 28:18; Efe. 1:19-21; Fil. 4:13
6
Kuinuliwa kama kichwa juu ya Kanisa
Efe. 1:20-23
Ili kuonyesha kwamba tendo la Mungu kutuhesabia haki limekamilishwa
7
Rum. 4:25
Kutawala hata maadui wote wawekwe chini ya miguu yake
8
1 Kor. 15:20-28
9 Kuwa limbuko la ufufuo wa mwisho ujao
1 Kor. 15:20-23
Kuthibitisha mamlaka aliyopewa na Mungu ya kuyatwaa maisha yake tena
10
Yohana 10:18
Made with FlippingBook Digital Publishing Software