Theolojia Katika Picha
/ 5 3 7
R e p r e s e n t a n d o l a t e o l o g í a
Yesu Kristo:- Mhusika dhamira ya Biblia Mch. Dkt. Don L. Davis Imetolewa kutoka katika kitabu kilichoandikwa na Norman Geisler, A Popular Survey of the Old Testament . Grand Rapids, MI:- Baker Books, 1977, pp. 11ff
Miundo miwili ya Biblia
Miundo minne ya Biblia
Miundo minane ya Biblia
Sheria:- Msingi wa Kristo (Mwanzo-Kumbukumbu la Torati) Historia: Maandalizi ya Kristo (Yoshua-Esta) Mashairi:- Matamanio ya Kristo (Ayubu-Wimbo Uliyo Bora) Manabii:- Matarajio ya Kristo (Isaya-Malaki) Injili:- Kudhirishwa Kwa Kristo (Mathayo-Yohana) Matendo ya Mitume:- Kutangaza kwa Kristo (Matendo ya Mitume)
Aganol La Kale:- Matarajio Kimefichwa Kilicho ndani Maadili Katika kivuli Katika kawaida za kidini Katika picha Kama ilivyo nenwa Katika Unabii Kabla ya kufanyika mwili
Sheria Msingi kwa ajili ya Kristo
Manabii Kutarajiwa kwa Kristo
Agano Jipya:- Utambuzi
Injili Udhihirisho wa Kristo
Kimefunuliwa Imefafanuliwa Ukamilifu wake Katika uthabiti Katika uhalisia Katika kiwiliwili Kama ilivyotimizwa Katika historia Katika kufanyika mwili
Luka 24.27; Hib 10.7; Mat 5.17; Yohana 5.39
Nyaraka:- Ufafanuzi wa Kristo (Warumi-Yuda)
Waraka Ufafanuzi wa Kristo
Yesu Kristo, Mhusika dhamira ya Biblia
Ufunuo:- Ukamilisho katika Kristo (Ufunuo wa Yohana)
Made with FlippingBook Digital Publishing Software