Theolojia Katika Picha

5 4 0 /

R e p r e s e n t a n d o l a t e o l o g í a

Yesu na Maskini (muendelezo)

III. Yesu Alihakiki Wokovu kwa Kuangalia Namna Mtu Anavyowatendea Maskini.

A. Habari za Zakayo, Luka 19:1-9 Luka 19:1-9 - Naye alipoingia Yeriko alipita katikati yake. 2 Na tazama, palikuwa na mtu, jina lake Zakayo, mkubwa mmoja katika watoza ushuru, naye ni tajiri. 3 Huyu alikuwa akitafuta kumwona Yesu ni mtu wa namna gani, asiweze kwa sababu ya umati wa watu, maana ni mfupi wa kimo. 4 Akatangulia mbio, akapanda juu ya mkuyu apate kumwona, kwa kuwa atakuja kuipitia njia ile. 5 Na Yesu, alipofika mahali pale, alitazama juu, akamwambia, Zakayo, shuka upesi, kwa kuwa leo imenipasa kushinda nyumbani mwako. 6 Akafanya haraka, akashuka, akamkaribisha kwa furaha. 7 Hata watu walipoona, walinung’unika wote, wakisema, Ameingia kukaa kwa mtu mwenye dhambi. 8 Zakayo akasimama, akamwambia Bwana, Tazama, Bwana, nusu ya mali yangu nawapa maskini, na ikiwa nimenyang’anya mtu kitu kwa hila namrudishia mara nne. 9 Yesu akamwambia, Leo wokovu umefika nyumbani humu, kwa sababu huyu naye ni mwana wa Ibrahimu.

1. Mapigo ya moyo ya Zakayo 2. Salamu ya Zakayo (kwa Yesu) 3. Tangazo la Zakayo a. Nusu ya mali yangu yote nawapa maskini. b. Ninarudisha mara nne wale niliotendea vibaya. 4. Wokovu wa Zakayo, mst.9-10

B. Kuchuma Nafaka siku ya Sabato, Mt.12:1-8 Mathayo 12:1-8 - Wakati ule Yesu alipita katika mashamba siku ya sabato; wanafunzi wake wakaona njaa, wakaanza kuvunja masuke, wakala. 2 Na Mafarisayo walipoona, walimwambia, Tazama! Wanafunzi wako wanafanya neno ambalo si halali kulifanya siku ya sabato. 3 Akawaambia, Hamkusoma alivyotenda Daudi, alipokuwa na njaa, yeye na wenziwe? 4 jinsi alivyoingia katika nyumba ya Mungu, akaila mikate ile ya

Made with FlippingBook Digital Publishing Software