https://user-fNLORqa.cld.bz/Misingi-ya-Utume-wa-Kikristo-Mwongozo-wa-Mkufunzi

/ 1 5 1

MISINGI YA UTUME WA KIKRISTO

baada ya jioni na kabla ya mapambazuko) ya Uturuki, ghetto za U.S.A., na vitongoji duni vya Australia.

C. Mavuno ya roho katika miji yetu ya ulimwengu ni ya kushangaza akili.

1. Kumbuka kile Mungu alichomwambia Yona aliyesitasita kuhusu jiji la Ninawi lenye umwagaji damu, ambalo aliliokoa kwa sababu ya huruma yake kuu, Yon. 4:11.

2. Kwa mlinganisho, ikiwa Mungu aliuokoa Ninawi kwa sababu ya watu wake 120,000 hebu fikiria mzigo wa Bwana kwa miji mikubwa ya ulimwengu!

3. Picha ya ulimwengu leo ​inatoa taswira ya ajabu ya maeneo ya mijini ya wakati huu.

3

a. Watu bilioni 3 ni wa chini ya umri wa miaka 25.

b. Watu wazima milioni 960 wasiojua kusoma na kuandika (theluthi mbili kati yao ni wanawake).

c. Watu milioni 767 wanaishi Afrika.

d. Milioni 190 wana simu za mkononi.

e. Milioni 66 wana umri wa zaidi ya miaka 80.

f. Milioni 33.4 wameambukizwa UKIMWI/VVU. – Timothy Monsma. “Kukua kwa Miji ya Ulimwengu Wetu” katika kitabu chake cha Cities: Mission’ New Frontier.

Made with FlippingBook Annual report maker