https://user-fNLORqa.cld.bz/Misingi-ya-Utume-wa-Kikristo-Mwongozo-wa-Mkufunzi
3 4 4 /
MISINGI YA UTUME WA KIKRISTO
“Kanisa
Lililokusanyika”
Kulingana na baadhi ya wanaisimu wa Biblia, maneno yaliyotumika katika Agano Jipya kwa ajili ya kanisa katika kusanyiko, en ekklesia , yanatumika kwa kusanyiko la mahali pamoja la watu wa
inavyomstahili Bwana katika mambo yote, kuzaa matunda tele katika Kristo, kuvuna, kufuatilia, na kuwafuasa washirika ndani ya oikos zao (familia zao, marafiki, maisha ya Ufalme. Kikundi Kidogo
Mungu amewateua viongozi katika Kanisa ili kuwakamilisha Wakristo kwa ajili ya “kazi ya huduma,” ili waweze kutembea
na watu wanaohusiana nao), na kuwa na bidii katika matendo mema ya kufunua
Kidogo
Kikundi
kuu (yaani, mkusanyiko wowote wa waumini Muundo wa Usharika Muundo wa Usharika wanaojitambulisha wenyewe kwa wenyewe, kutoa na kuhudumu pamoja, chini ya kiongozi mmoja wa kichungaji, ambapo
Mungu “wanapokusanyika pamoja kama kanisa,” taz. 1 Kor. 11:18. Kwa hiyo watu wa Mungu
wanaweza kuitwa “kanisa/kusanyiko,” yaani, wale ambao kwa imani katika Yesu Kristo na Roho
wake Mtakatifu sasa wanawawakilisha watu wake walioitwa katika mahali fulani na eneo fulani. Makundi ya makanisa ambayo yanaungana pamoja kwa ushirikiano kwa ajili ya kusaidiana, kuburudishwa, huduma, na utume (k.m., Mashirika, madhehebu, makongamano, n.k).
Kidogo
Kikundi
Jumapili, Timu ya Huduma ya Mtaa, Timu ya Kufikia Magereza, n.k.
Sehemu yoyote
inayotambulika ya
Kanisa la Mahali
Pamoja
Kanisa pamoja kama kitu kimoja, kutoka kanisa la nyumbani hadi kanisa
kusanyiko kubwa zaidi, k.m., Kikundi Seli, Ushirika wa Wanawake, Kikundi
uwepo wao na utii wao unaonyeshwa na kujulikana).
cha Maombi, Mafunzo ya Biblia, Darasa la Shule ya
- Kufikia walio ndani (kufuasa, ushirika, kutoa huduma, n.k.) - Kufikia walio nje (uinjilisti, huduma, ushuhudiaji)
Miktadha Mitatu ya Kazi ya Uongozi I. Kuunda, Kuongoza, na Kuzalisha Maisha na Huduma ya Kikundi Kidogo Chenye Nguvu
II. Kuwezesha na Kuzalishwa Maisha na Huduma Muhimu katika Kusanyiko Kidogo Kikundi
III. Kukuza na Kuendeleza Tabia ya Masaidiano, Umoja na Ushirikiano Baina ya Makusanyiko
watenda kazi ni wachache; basi mwombeni Bwana wa mavuno apeleke watenda kazi katika mavuno yake. 3 Enendeni, angalieni,
Kidogo
Kikundi
KIAMBATISHO CHA 31 Miktadha Mitatu ya Ukuzaji wa Uongozi wa Kikristo Mjini Mch. Dkt. Don L. Davis ~ Waefesho 4:11 – Naye alitoa wengine kuwa mitume, na wengine kuwa manabii; na wengine kuwa wainjilisti na wengine kuwa wachungaji na waalimu. Chini ya sisi sote “Sisi” (Kanisa langu) Zaidi ya sisi sote Kikundi Kidogo
nawatuma kama wana kondoo kati ya mbwa mwitu” (Luka 10:2-3).
Mungu amewapa viongozi wa Kanisa vipawa vya kipekee – mitume, manabii, wainjilisti, wachungaji na waalimu ili
“Kanisa Lililokusanyika” liweze kujengwa na kuwezeshwa kutimiza utume na huduma yake linapotawanyika, kama mtu mmoja mmoja katika ulimwengu. “Akawaambia, Mavuno ni mengi, lakini
Made with FlippingBook Annual report maker