Kutafsiri Biblia: Capstone Module 5 Swahili Mentor Guide
1 3 4 /
K U T A F S I R I B I B L I A
3. Sio tu KILE kinachosemwa, bali pia NAMNA kinavyosemwa.
4. Ryken: vipengele vya umbo na mtindo wa sanaa (kawaida kwa usanii wote):
a. Mtindo au muundo
b. Mada au lengo kuu
c. Muunganiko wa vipengele
d. Mshikamano
3
e. Mizani
f. Utofautishaji
g. Ulinganifu
h. Kurudia
i. Muendelezo wenye mafungamano.
E. Kufunua utajiri uliomo ndani ya Biblia kuhusu siri ya Mungu na kazi yake ulimwenguni.
Made with FlippingBook - Online Brochure Maker